Ridhiwani Kikwete: Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000

Ridhiwani Kikwete: Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000

 
Atuambie hiyo idadi ni sawa na asilimia ngapi ya walimu wote wasio na ajira.

Halafu alisema ndani ya siku 100 ataanza mchakato wa Katiba mpya.

Iko wapi?
 
waandishi

WALITAKIWA WAUULIZE

mwaka 2025-2026 waliostaafu wangapi nachojua hao wameziba pengo la waliostaafu
 
Back
Top Bottom