Tanzania tuitakayo ndani ya miaka mitano-25 ijayo
MAENDELEO ya Taifa lolote lile duniani hutegemea sana mipango murua, nguvu kazi ya kutosha, uchumi usio wa mashaka na nyenzo madhubuti zinazowezesha ufanikishaji wa malengo ya kimkakati.
Tanzania ni miongoni mwa mataifa katika Bara la Afrika...