ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Pande 2 za vijana wanaokosoana mtandaoni kwa sababu ya misimamo yao ndani ya chama chao

    Nionavyo mimi: 1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana. Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kuna haja ya kufanya "harmonisation" au "coexistence of the two sides". 2) Kwa upande mwingine, ni...
  2. Kwa nini wapiganaji waliompindua Assad hawaishambulii Israel iliyoingia ndani mwa nchi walioyoiomboa

    Israel imeingiza vifaru kwenye eneo la kijiografia la Syria. Kinyume cha utaratibu. Inashambulia uti wa mgongo wa jeshi lililoshindwa la Syria. Kana kwamba wanataka serikali itakayokuja hata kama ni yawa wanamgambo wasiwe na kifaa chochote cha kijeshi cha maana. Kwa nini hawa waasi...
  3. Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani. Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu. Wana CHADEMA...
  4. Q

    Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

    2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56. 2024: Sio tetesi tena Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega...
  5. Bashungwa apokelewa Wizara ya Mambo ya Ndani - Zanzibar

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Disemba, 2024. Mapokezi hayo yamefanyika katika Ofisi za Idara...
  6. S

    Hotuba ya Mwisho ya Profesa Kabudi ndani ya masaa 24 akahamishwa Wizara

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia. Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti hasi na...
  7. 9 Desemba Ndani ya Kasri la Salim Kikeke

    https://youtu.be/XXvNt2F1yjU?si=iRsOuBjSdcQT1UNA
  8. A

    KERO Uchafu umekithiri maeneo ya Buzuruga ndani ya Jiji la Mwanza, wanaohusika wawajibike

    Leo nilikuwa eneo la Buzuruga Shule, ki ukweli hali nilioiona imenisikitisha sana kutokana na marundo ya uchafu yaliyojazana kwenye mitaro maeneo hayo eneo maarufu la Shule. Wahusika watoke ofisini na kujionea hali ya uchafu iliyopitiliza eneo lote la Buzuruga.
  9. L

    Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani. Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
  10. S

    Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  11. Aliyekuwa Mbunge Moshi Mjini Japhari Michael: Genge la Mbowe limeumiza watu wengi ndani ya CHADEMA

    "Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza. Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda. Hawa...
  12. Kumbe hakuna ugomvi ndani ya CHADEMA wako vizuri. CCM mjipange!

    Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu. Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama. Habari kutoka chanzo cha uhakika...
  13. K

    Upande wenye siasa kali unashinda ndani ya vyama vya siasa

    Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda maridhiano wanashidwa na upande wenye misimano mikali mfano Mbowe upande wake unapungua nguvu na...
  14. Injinia Masauni, utekaji umemuondoa Mambo ya Ndani?

    Waziri Masauni yupo yupo tu. Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa. Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu. Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu. Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku. Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo. Wizara mama...
  15. Kamanda Muliro please trade carefully na wananchi. Polisi waishi ndani ya Katiba, Sheria na PGO imani irudi

    Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani. Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu. Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na...
  16. M

    Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
  17. KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

    Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
  18. Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

    Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
  19. Tumesubilia kwa hamu hatimaye tumemuon mwenye Ina TV kwa ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸŒβ€β™‚οΈ

    Tumesubilia kwa hamu hatimaye tumemuon mwenye Ina TV kwa ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸŒβ€β™‚οΈ
  20. R

    The power within, niliingia ndani ya msingi wa nyumba Kwa kudhamiria tu

    Salaam, shalom!! INTRODUCTION. Tuendelee na mada za wakubwa, Naamini Hadi sasa Kila mtu ajua kuwa, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Nimekuwa nikifanya majaribio mengi ya kutumia uwezo wangu ndani yangu na nimekuwa nilipata matokeo mazuri. Kudhamiria, au kuweka Nia au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…