ndege kuchelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Precision Air ni muda gani au lini tutarudi Dar? Mmetuacha hotelini na hatujui hatma yetu!

    Abiria wa ndege ya Precision Air kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam safari yetu ilikuwa leo Jumamosi April 11, 2026 saa saba mchana lakini mpaka sasa hatujui safari itakuwa muda gani! Tumefika airport wanatuambia hakuna ndege, na hawatupi sababu za kwanini hakuna ndege au labda kusema pengine...
  2. JamiiForums Tanzania Aibu: Air Tanzania yalalamikiwa kuchelewesha abiria na kisha kuwakodia hoteli ya hadhi ya chini

    Baadhi ya wateja wa Air Tanzania wamelalamika mtandaoni kuwa ndege yao ya Air Tanzania iliyokuwa iwapeleke Dar es Salaam ilichelewa jambo lililosababisha wafike Dar kwa kuchelewa. Air Tanzania iliwatafutia vyumba vya kufikia ambavyo wateja hao wamelalamika kuwa vilikuwa na hadhi ya chini sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…