Mgombea urais wa Chama cha ADA-TADEA, Georges Bussungu, ameahidi kuiimarisha Idara ya Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi kwa kununua ndege maalumu za doria katika kila mkoa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Akizungumza leo na wananchi wa...