ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

    Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
  2. T

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    ๐—ฅ๐—˜๐—ฉ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—˜๐——: ๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ด๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฎ๐˜‡๐˜† ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฎ๐—น ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ฎ ๐—บ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐˜† ๐˜๐—ผ ๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ฟ๐˜†'๐˜€ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐˜๐—ผ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜ ๐—ฎ๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜ The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
  3. Kijue kisa cha mlevi aliyeiba ndege na kwenda kuipaki Baa

    "MWAMBA ALIYEIBA NDEGE KWA UBISHANI" Mwaka 1956 mwanaume mmoja aitwae Thomas Fitzpatrick au "Tommy Vitz" waliwekeana dau wakiwa Bar na mlevi mwenzake kuwa anaweza kuiba ndege na kwenda kutua katikati ya mji kwa kutumia muda mchache. Baada ya mabishano ya kuwekeana kibunda Tommy Vits alikwenda...
  4. Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

    MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI? "Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
  5. Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni bandiko muendelezo Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na...
  6. Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

    Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm. Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere...
  7. Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya zaidi hadi wanaume watu wazima utawakuta nao wamejifunga kibwebwe wanakata mauno bila aibu wala soni...
  8. Urusi bado inapokea kichapo, Ukraine yalipua ndege sita za Urusi za aina ya SU-25

    Jameni tusisahau Urusi bado inapokea kichapo.... Ukraine destroyed six Russian Su-25 fighter jets in the Tavriya sector of the front in October, the Tavriya Defense Forcesโ€™ spokesman, Colonel Oleksandr Shtupun, said on national television on Oct. 30. "As you can see, they do not feel safe,โ€...
  9. Nahisi mabasi kusafiri usiku yameshusha mapato kwenye mashirika ya ndege

    Usafiri wa mabus usiku nadhani ni pigo kubwa sana kwa mashirika ya ndege, kwa mwendo ninao uona sasa mashirika ya ndege kwa safari za ndani ya nchi itabidi waje na ofa sio za kawaida otherwise maumivu yao ni makubwa. Mabus ya Usiku yana jaa mapema kuliko kawaida, yani kama unasafiri usiku...
  10. Uwanja wa Ndege Songwe Kujengewa Chumba Maalum cha Baridi (Cold Room) Kuhifadhi Mazao

    Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
  11. Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
  12. Ndege ya Kwanza kutengenezwa Tanzania yazinduliwa

    Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo. Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa ndani ya Nchi skyleader 600 imeoneshwa na kuzinduliwa rasmi kwenye maonesho ya wazalishajo wa...
  13. Ndege made in Tanzania

    Ndege iliyotengenezwa Tanzania Airplanes Africa Limited (AAL), a Morogoro-based aircraft manufacturer, has unveiled the first aircraft assembled in Tanzania. The aircraft, Skyleader 600, was unveiled at the Tanzania International Manufacturers Expo 2023 (TIMEXPO), held at the Diamond Jubilee...
  14. Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

    Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege. Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku). Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; namaanisha...
  15. Nchi ambazo hazina Viwanja vya Ndege

    Sisi wahaya ni watu ambao ndio makabila ya mwanzo kuanza kuvuka border, ni watu tuliwahi kupata exposure mapema, ukibisha basi nenda Vatican umuulize Pope ni kabila gani kutoka Tanzania ambalo kila siku makadinali wake wanaongoza kuongia Vatican utaambiwa ni wahaya, Juzi kati tu Papa kamuapisha...
  16. T

    Msaada: Nahitaji kufika Mwanza saa 7 mchana kesho na ndege zimejaa, kuna option nyingine yoyote?

    Wakuu nimekuja kwenu Kwa msaada, kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo muda huo. Kama Kuna msaada wa option nyingine hata private car niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote. Asanteni.
  17. Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Habari wakuu, Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
  18. Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

    Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?. Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote...
  19. Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida โ€œeconomyclassโ€ itabeba...
  20. Mfumo wa Urusi wajikanganya na kulipua ndege yao ya kisasa aina ya Su-35

    Yaani jamaa wanaishi kiuwoga uwoga..... Russian air defences have shot down one of the countryโ€™s most advanced fighter jets in a friendly fire incident, according to reports. The Russian Su-35 was downed over Tokmak, Zaporizhzhia Oblast, on Thursday where Ukraine is mounting its...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ