ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Ndege inayoaminika kubeba kundi la Wagner 140 yalipuka Mali, Afrika

    Yaani kama movie vile, ndege inajilipukia yenyewe na kuwafanya mishkaki... This is the dramatic moment a giant 'Russian made' transport plane careered off a runway in Africa and exploded into a fireball amid suspicions the jet was linked to the Wagner army. The Il-76 plane burst into flames...
  2. K

    Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

    Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake. Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii...
  3. Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  4. Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  5. Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

    Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
  6. L

    China yaweza kutembea kifua mbele na kuingia kwenye ushindani na makampuni ya kutengeneza ndege kama vile Boeing na Airbus

    Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
  7. Urusi: Ndege tatu za kijeshi zalipuliwa zikiwa uwanjani

    Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow. ========= Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
  8. Ndege ya kivita SU-34 yaanguka yenyewe huko Urusi

    Mindege ya supapawa inadondoka yenyewe.. A Su-34 fighter jet crashed in Voronezh Oblast in Russia on the morning of 20 September. Source: Russian propagandistic media outlets RIA Novosti and TASS with reference to Russia’s Defence Ministry Details: Reportedly, the crew of two people managed...
  9. R

    Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  10. Ndege yatua Uhispania na abiria kamili bila mizigo yao

    Usafiri wa ndege ni usafiri wa raha na wa haraka zaidi. Pamoja na hivyo ni moja ya usafiri wenye vituko vingi zaidi. Wiki mbili zilizopita ndege moja huko Marekani ilibidi irudi ilikotoka baada ya abiria mmoja kuchafukwa na tumbo na kuichafua ndege nzima. Juzi tena tarehe 11 ndege ya shirika...
  11. Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

    Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani? Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20, ambapo ulinzi umeimarishwa. Rais wa Marekani Joe Biden atawasili nchini India kushiriki katika...
  12. S

    Tanzania tunaweza kuwa na wataalamu wa kuchunguza mitumba ya ndege, reli, mabehewa na vichwa vya treni?

    Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu namna mitumba hiyo itavyokuwa inaingizwa nchini, haya ndio baadhi ya maswali ninalojiuliza na mpaka sasa sina majibu. Je, wewe hapo uliopo, unaamini tunao wataalamu wa kukagua vifaa kama hivyo? Je, si kweli kuna wakati itahitajika teknolojia katika...
  13. Moscow, Urusi ndege 23 zasitishwa safari baada ya tishio la mashambulizi

    Mji mkuu wa supapawa ni tafrani kote, walianzisha shughuli ambayo imekua kero..... About 23 flights were cancelled and 19 were delayed in Moscow on Sunday night, passengers at the Kiyevsky railways station were also evacuated due to reports of a bomb threat. Source: Russian state-owned news...
  14. Mwezi wa 10 nataka kupanda ndege nakuja Dar. Naombeni ramanI ya kutoka uwanja wa Nyerere hadi Mbezi

    Wakuu za jioni. Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana. Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
  15. Ndege nne za kijeshi za Urusi zalipuliwa uwanjani na drone ya Ukraine

    Bandugu, patanei picha yaani kindege kidogo cha drone kinalipua mindege ya ya kivita, hasara ya ajabu sana na aibu kwa Urusi.... Russian media outlets reported that four Il-76 aircraft were damaged at a military airfield in Pskov as a result of a drone attack. Source: Mikhail Vedernikov...
  16. Lile zimwi la kuota ndege zikianguka limenikamata!

    Nikiwa ktk lindi la usingizi mwanana ambao haukuwa na tone la dosari huku nikiwa kungwi nilietopea ktk aina ya ndoto zakijasusi!,ambazo uhusika wangu Mimi huwa ni sterling nisiepigwa na ikitokea nimepigwa basi nasitisha!.. Ktk hali ya sintofahamu leo kichwa changu kimebadili mkondo wa...
  17. Uholanzi Yaipa Ukraine Ndege Chapa F-16 Kama Kisasi Cha Kulipiza Ndege Yake Ya Abiria Kulipuliwa Na Mawakala Wa Putin Na Kuua Abiria 196

    Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.🤔 ...
  18. Ndege kadhaa za kivita za Urusi zalipuliwa na drones kwenye uwanja

    Hizi drones yaani tu, ndio vita vya kisasa, maskini Putin............ On the night of 26-27 August, the military counterintelligence service of the Security Service of Ukraine (SSU) struck Russian Su-30 and MiG-29 aircraft, as well as S-300s and Pantsirs, at the Kursk airfield with 16 drones...
  19. Kenya: Kukatika kwa umeme, Bosi wa Viwanja vya Ndege afukuzwa kazi

    Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi. Alex Gitari alifutwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, ambaye ameomba radhi kwa changamoto hiyo...
  20. Viwanja vitatu vya ndege Urusi vyafungwa kisa mashambulizi ya drone za Ukraine

    Warusi wanaishi maisha ya kukazia macho angani muda wote Russia blocks fresh drone attack on Moscow, says mayor Russia reported a new drone attack on Moscow in the early hours of Saturday which again forced authorities to temporarily shut down all three major airports serving the capital...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…