ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ukraine imekata tamaa; sasa inadai mpaka ipewe ndege za kijeshi F-16 ndio iweze kushinda vita yake na Urusi

    Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru vikubwa ili washinde. Wakapewa vifaru vya mjerumani LEOPARDS na vifaru vya Marekani ABRAHAMS na vya...
  2. Hatimaye Ukraine sasa kupewa ndege za ain ya F-16, kitaeleweka tu

    Mpaka hapo imedhihirika hamna jipya ambalo Urusi inaweza kufanya, imeshambulia kwa kila aina ya kombora kasoro nyukila....magharibi wanaendelea kuipa Ukraine jeuri zaidi ya kuilemaza Urusi kabisa.... ============== Ahead of Zelenskyy’s participation at the G7, the group announced it will...
  3. Watoto 4 Wakutwa Wakiwa Hai Siku 16 Baada ya Ajali ya Ndege

    Maofisa nchini Colombia, wanasema watoto wanne waliotoweka tangu ndege kuanguka msituni, wamepatikana wakiwa hai zaidi ya wiki mbili baadaye. Mama yao na watu wazima wengine, walifariki katika ajali hiyo. Shirika la Serikali la Ustawi wa Watoto (ICBF), lilisema limepata taarifa kutoka eneo hilo...
  4. Yanga si ya kwanza kupewa ndege na serikali, Simba ilipewa ndege mwaka 1939

    Tuweke rekodi sawa, Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39 Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa. Majirani msituringishie! Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇
  5. K

    Marekani yasitisha zoezi la kupeleka ndege vita F -16 baada ya mifumo yake ya ulinzi kudunguliwa uko Ukraine

    Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya F -16 zisipelekwe ukraine wala kuwafundisha askali wa ukraine. Hii Ni baada ya kugundua kwamba...
  6. Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan...
  7. Urusi ni super power ya mdomoni, jana nilitaka kusafiri nikakumbana na haya ndani ya ndege za Urusi

    Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa...
  8. Ndege nne za Urusi zapigwa chini hata kabla kuingia Ukraine, yaani zikiwa anga ya Urusi

    Mrusi sasa anatia huruma, ndege zinapigwa zikiwa kwenye anga ya Urusi kabla kuingia Ukraine.... A Russian aerial ‘raiding party’ consisting of a Su-34 fighter-bomber, Su-35 fighter, and two Mi-8 helicopters were reported shot down before entering Ukraine territory. Russian news outlet...
  9. Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

    Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma. Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa...
  10. Fahamu zaidi kuhusu mafuta ya ndege

    NDEGE HUTUMIA MAFUTA GANI? Aviation Fuel ni mafuta yanayotumiwa kwa kuendeshea injini za ndege. Kimsingi zipo kama aina nne za mafuta zinazotumika katika usafiri wa anga. 1> Jet A-1 ambayo ambayo kwa uhalisia ni mafuta ya taa 2> Jet B, Mchanganyiko wa mafuta ya taa na petroli 3> Avgas ambayo...
  11. SoC03 Ndege wanaofanana huruka pamoja

    Karibu kwenye chapisho langu hapa nitaelezea maisha ya binadamu katika siasa, uchumi na kijamii ila nitatumia hii methali "ndege wanaofanana huruka pamoja" kama mbinu ya kifasihi katika kujielezea Ndege wanao fanana huruka pamoja, maana ya methali hii ni kuwa kila kitu au watu wenye sifa moja...
  12. Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
  13. Mashirika ya Ndege kutakiwa kuwalipa Fidia Abiria endapo yataahirisha au kuchelewa Safari

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wizara ya Uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazoyalazimu Mashirika yote kugharamia Chakula na Malazi ikiwa uchelewaji utakuwa ndani ya udhibiti wa Shirika. Baadhi ya sababu zitakazochangia kulipwa fidia ni pamoja na Matatizo ya Kiufundi na Shirika...
  14. Ndege ya ATCL iliyokamatwa uholanzi mbona hatuambiwi chochote; au ndiyo basi tena?

    Huku nyuma awamu ya 5 kila jaribio la wale nawaita wahuni kushika ndege za ATCL ili kulipwa madeni ya mchongo na Tanzania yamekua yanashindwa na ndege zimekua zinaachiwa baada ya muda mfupi. Wakati wa awamu ya 5 tuliona pale jaribio la kushika ndege ya ATCL kule afrika ya kusini liliposhindwa...
  15. R

    Hizi taarifa za ndege kushindwa kutua Dodoma kutokana na Taa inalenga kuieleza nini Dunia? Hakuna tender inatengenezewa mazingira?

    Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana. Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya kiongozi mkubwa yashindwa kutua lakini ndege zenye abiria wasio na attention Kwa jamii hazikwami...
  16. Songwe: Ujenzi wa runway, Uzio na Taa za kuongozea ndege, vyakamilika Uwanja wa Songwe

    1. UJENZI WA RUNWAY YA SONGWE AIRPORT UMEKAMILIKA. Mradi wa Ujenzi wa sehemu ya kuruka na kutua Ndege "Runways" ambapo kulifanyika ujenzi wa tabaka la juu la lami KM 3.3 imekamilika kwa 100% 2. UJENZI WA UZIO WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE NA TAA ZA KUONGOZEA NDEGE UMEKAMILIKA , JIJINI MBEYA...
  17. Dodoma: Sintofahamu yaibuka kuhusu uwanja wa ndege wa Dodoma kutokuwa na taa za kuwezesha ndege kuruka na kutua usiku

    Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24. Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
  18. B

    Dodoma haifai kuwa Makao Makuu ya Nchi, inakuwaje Uwanja wa Ndege hauna taa? Ni aibu

    Baada ya juzi kuona taarifa ya mamlaka ya anga kuhusu ndege ya precision kuahirisha kutua Dodoma, nikasema moja kwa moja Makao Makuu ya Nchi hayawezi kuwa Dodoma. Hiyo inatokana na kwamba miundombinu yake bado haijawa vizuri ikiwepo kiwanja cha ndege. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Hamza...
  19. SI KWELI Ndege ya Malaysia iliyopotea miaka 9 iliyopita yaonekana ndani ya maji ikiwa haina abiria

    Salaam Wandugu, Nimepata taarifa mtandaoni kuwa ndege ya Malaysia iliyopotea miaka tisa iliyopita imekutwa kwenye maji ikiwa haina abiria. Habari hiyo ilichapishwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Twitter linaonesha picha ya mbele ya ndege yenye kutu inayosomeka: “Ndege ya...
  20. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa: Baada ya ujenzi Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga utakuwa wa kisasa

    Salaam, Hatimaye ile ndoto ya siku nyingi ya Uwanja wa ndege sumbawanga uliokuwa hautumiki imetimia. Leo Serikali inayoongozwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan imetia saini kuanza kwa ujenzi wa Uwanja. ILIKUWAJE? Awamu ya kwanza ya Upembuzi yakinifu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…