ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

    Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani. Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru yameonekana kuwa vulnerable kwani imekuwa rahisi kushambuliwa na silaha nyepes za kubeba begani, "...
  2. mike2k

    Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

    Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania...
  3. Mpinzire

    Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

    Hizi ndizo habar za muda huu! Ndege ya Air Tanzania aina ya Airbus A220-300 yenye usajili wa namba 5H-TCM ikiyotokea Mbeya kuja Dar es Salaam imepigwa stop kuingia katika anga la Dar es Salaam mpaka Vice President wa Marekani atue na ashuke kabisa. Kwa mliopo katika mtandao wa Flight Reader...
  4. K

    Ndege ya Saudia kuja Tanzania ni habari nzuri kwa taifa, Sio mbaya kwa ATC

    Watanzania ni lazima waeleweshwe vizuri. Biashara ya Ndege haina faida. Biashara ya Ndege ya ATC faida yake ni kusaidia biashara nyingine muhimu kama utalii na mizigo kama ya kilimo, Maua na mifugo. Sasa kuna wasomi wengi nashangaa wana lalama eti ndege ya saudi ambayo itakuja kuchukuwa mizigo...
  5. comte

    Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

    https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
  6. O

    Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

    Moshi. Novemba 6 mwaka jana, Tanzania iliamshwa na habari mbaya za kuanguka kwa ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba mkoani Kagera na kusababisha vifo vya abiria 19, huku 24 wakiokolewa. Ndege hiyo iliondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  7. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini yafanya jaribio la ndege isiyokuwa na rubani

    Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la ndege isiyoendeshwa na rubani yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na kushambulia ikiwa chini ya maji. Shirika la habari la nchi hiyo, KCNA, limeripoti hayo hii leo, Ijumaa, wakati kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, akitowa onyo kwamba luteka...
  8. benzemah

    Serikali kutaja chanzo cha ajali ya ndege Bukoba Novemba 11, 2023

    Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa. Akizungumza na wandishi...
  9. kibangubangu

    Binadamu ni Mtumwa awe mweupe au mweusi

    Binadamu ni watumwa, ila wanyama na ndege,samaki wapo huru, wanaishi maisha yao. Ndio maana wanyama, ndege na samaki hawana shule, na hawaajiliwi ila wanakula maisha kama kawa. Asili ya dunia imemuandaa mwanadamu kuwa mtumwa wa kutekeleza malengo ya wale walio mtuma. Uwezo wake wa akili,ndio...
  10. N

    Serikali kuboresha uwanja wa ndege Chato

    Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa. Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege. Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema...
  11. Bhaghosha

    Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

    Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi. Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...
  12. Richard

    Wakati ATCL imelala usingizi wa pono Rwandair waongeza ndege nyingine aina ya Aibus A330-200

    Source: RwandAir- Ndege hiyo mpya ikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali. Shirika la ndege la Rwanda Rwandair Ijumaa ilopita ilipokea ndege ingine mpya kubwa ya Airbus A330-200 kutoka Ufaransa. Ndege hiyo itakuwa ikisafiri masafa marefu kwenda barani Ulaya na Mashariki ya Kati. Lakini...
  13. B4g3g3

    Naomba suluhisho la ndege na kioo cha alminium cha one-way

    Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni kero ukiwa karibu, nalitatua vipi
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

    Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege. Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege? Taarifa zilizopo ni...
  15. ngajapo

    Marubani wa Urusi watatunukiwa tuzo baada ya tukio la kuzuia ndege zisizo na rubani za Marekani

    Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
  16. MK254

    Poland kuipa Ukraine ndege za kivita, Mrusi analo

    Imefikia hatua sasa Ukraine kupewa silaha za maana, hadi hapo visilaha walizokua wanapewa wamefaulu kuilemaza Urusi, sasa wataanza kupata madubwana ya kweli, na Urusi ilishasema atakayeisadia Ukraine kwa silaha atakiona, sasa sijui ndio nini kingine kinasubiriwa, ifahamike hao Poland ni jirani...
  17. MK254

    Uingereza na Ujerumani waifukuzia mbali ndege ya Urusi iliyojaribu kupaa Estonia, kataifa ndani ya NATO

    Ndege ya kivita ya Urusi ilijaribu kutumia anga ya Estonia kupokea mafuta angani, hiyo ni baada ya kusahau hako kataifa ka Estoni kako ndani ya NATO, ghafla ndege za Ujerumani na Uingereza zikaibuka na kuifukuzia mbali.... ======================== UK and German military aircraft have...
  18. Mpinzire

    Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

    Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!. Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako...
  19. ndege JOHN

    Kwanini kwenye ndege kila mtu asivishwe parashuti?

    Ili kuepuka vifo vitokanavyo na ndege kupata ajali chini kwanini makampuni ya ndege yasinunue parashuti kwa kila abiria yaani ukikaa kwenye seat unalivaa ili ndege ikipoteza control basi mnaruhusiwa kuruka kutoka nje mnapaa mnashuka chini bila kujipigiza?
  20. Nyuki Mdogo

    Mambo yahusuyo ndege BUNDI na Jinsi anavyotumika Kishirikina

    BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo,anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi anauwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama vile unavyozungusha...
Back
Top Bottom