Shughuli za utafutaji na uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyotoweka iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika alisema.
Chilima, 51, alikuwa ndani ya ndege ya kijeshi na wengine tisa walioondoka Lilongwe, mji mkuu, saa 9.17...