ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yamtaka Mkandarasi kumaliza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mikumi kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi huo...
  2. I

    D.B. Cooper mtu aliye vamia ndege ikiwa juu angani na kutoroka kusipojulikana

    Mtu unayemzungumzia ni D.B. Cooper, jina la kufikirika alilopewa na vyombo vya habari, ambaye alihusika na tukio maarufu la utekaji nyara wa ndege mnamo mwaka 1971. Tukio hili limebaki kuwa moja ya siri kubwa ambazo hazijapata kutatuliwa katika historia ya Marekani. Mnamo tarehe 24 Novemba...
  3. Webabu

    Houth wadai kuidondosha ndege nyengine ya Marekani

    Ndege isiyokuwa na rubani inayogharimu dola milioni kadhaa za kimarekani imedondoshwa na wanamgambo wa Houth huko Yemen. Taarifa za kuangushwa kwa ndege hiyo ya upelelezi ya MQ-9 reaper bado hazijathibitishwa na Marekani.Hata hivyo jeshi la Marekani mapema leo limeendelea kuishambulia Yemen kwa...
  4. Webabu

    Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

    Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35. Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
  5. Lycaon pictus

    Ndege Kipwe, African Shrike

    Shrikes ni jamii ya ndege kauzu sana. Wakikamata mdudu wanatafuta mahali penye mwiba na kumpachika mzima mzima na kuanza kumla taratibu.
  6. Roving Journalist

    Adeline Lyakurwa: Ndege alinasa kwenye nyaya za umeme, mafundi wamerekebisha, umeme umerejea Bariadi (Simiyu)

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa ikijirudia tangu wakati kuna Mgawo wa Umeme, ufafanuzi umetolewa na imeelezwa changamoto hiyo imetatuliwa...
  7. W

    Fahamu madhara unayoweza kupata kwa kuweka mtandaoni picha ya tiketi yako ya ndege?

    Kumbuka kila unapo post Ticket yako ya Ndege unahatarisha usalama wako kama ifuatavyo a. Kwa kutumia Msimbo Pau (Barcode) ya tiketi, Wadukuzi wanaweza kupata taarifa zako na kuzitumia kukufanyia Ulaghai (Phishing). b. Ni rahisi mtu kubadilisha au kuahirisha safari yako kwani anahitaji jina na...
  8. JanguKamaJangu

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato (Dodoma) wafikia Asilimia 72

    Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72 kwenye Barabara ya kuruka na kutua ndege huku Jengo la abiria likifikia asilimia 39. Hayo yamesemwa leo...
  9. green rajab

    Ndege ya Kivita ya Marekani imeangushwa huko Syria Pilot kutokome kusiko julikana

    Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army. BREAKING: According to initial reports, an American fighter jet crashed in government-controlled eastern Syria...
  10. U

    IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel yafanya kufuru Leo asubuhi Iko hivi Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia...
  11. Lanlady

    MwanaFA nakubaliana na wewe; ila hapo mwishoni inategemea ni ndege wa aina gani na ana dhamira gani

    Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri? Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine. Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
  12. U

    IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Kazi nzito kuwasaka na kuwapeleka jehanam magaidi wa Hezbollah inaendelea kwa kasi kubwa Muda mfupi uliopita gaidi mwingine ameliwa kichwa na drone ya IDF akiwa kusini mwa Lebanon Jina la gaidi huyo MUHAMMAD NAJAM Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Soma Pia...
  13. M

    Nataka kusafiri na ndege kwa mara yakwanza dar-bukoba

    Habar wakuu nataka kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu ..safar yangu nikutoka dar-bukoba..nin kinatakiwa kuwa nacho na kipi hakitakiwi na pia nin chakuzingatia ili kufanikisha safar niweze safiri...Sina uelewa wowote na nauli nishingap one way
  14. Mparee2

    Kwa nini ATC haiongezi ndege ARS/JRO weekend?

    Hivi ni kweli hatuna ndege za kufanya safari za ndani? Nauliza hivyo kwa kuwa, kila wiki Ijumaa hadi Jumatatu huwezi kupata ndege ya Arusha au JRO to Dar labda ukimbizane na hivi vicaravan (C208) vya watu 10 wakati huo huo, ATC inalalamika haina biashara. Utashangaa vi Caravan zaidi ya 15...
  15. Suley2019

    SI KWELI Video ya ndege ya Brazili muda mchache kabla ya kupata ajali

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii video ikidai ni tukio la kweli kuhusu ajali ya ndege nchini Brazil. Kuna ukweli?
  16. M

    Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  17. Ritz

    Ndege za mizigo za kijeshi za Urusi zinapeleka silaha Iran

    Wanakumbi. ⚠️🚨Ndege kubwa zaidi ya kijeshi ya Urusi ya kubeba mizigo aina ya An-124 imewasili Tehran Ndege hii hapo awali ilipeleka ndege za kivita aina ya Yak-130 nchini Iran miezi michache iliyopita. https://x.com/resistance151/status/1823658374384509124?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  18. U

    UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo. Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
  19. BUSH BIN LADEN

    Kuku na ndege wengine wanatumia hisia gani kutambua maji?

    Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao. Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent ambao ni muonekano yalionayo maji(pure water). Je ndege wanatambuaje kwamba ulichowatengea mbele yao...
  20. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
Back
Top Bottom