Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Jamaa wanaweweseka balaa!
Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la Iran, likinukuu msemaji wa Shirika la Usafiri wa Anga la Iran.
Taarifa kwa marubani, au NOTAM...
Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana.
Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag.
FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible:
Credit definition Geogle
Walicho...
Diamond Platnumz alipokutana na Cloutas Chama na Kenedy Musonda katika uwanja wa ndege Julius Nyerere International Airport, ilikuwa ni tukio la kufurahisha, hususan kwa mashabiki wa soka na muziki. Wakati Diamond akielekea Zimbabwe kwa ajili ya shoo, wachezaji hao walikuwa wakielekea Zambia...
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu...
Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea.
Mpaka sasa Pentagon hawajatoa...
Si watu wengi au familia nyingi ufuga hawa ndege jamii ya "njiwa".
Mimi binafsi nakuwaga na mawazo tofauti sidhani kama ni mimi peke yangu au na wengine?
BREAKING:
Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut.
Israel haitaruhusu silaha za IRGC...
Ndugu Watanzania!
Juzi nilihoji iweje Mhe. Godbless Lema atekwe ndani ya Ndege taarifa zake zisijulikane? Hapa nimetumia neno hili kuwa alitekwa kwa sababu hakuna maelezo sahihi ya kuelezea ukamataji wa aina ile zaidi ya utekaji.
Akiwa katika Maria Space, Lema ameeleza jinsi alivyochukuliwa...
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon.
Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel.
Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au...
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF
Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika shambulio, huku watu wapatao 560 wakiwa wameuawa tangu mgogoro ulipozidi; Mwana jeshi wa akiba wa...
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.
Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.
Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA
Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya abiria imeongeza kutoka abiria 3,000 hadi kufikia 19,000 wanaoshuka Mkoani Ruvuma kwa kuwa hivi sasa...
RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100%...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma.
Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani...
Habari boss, kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inapenda kukutaarifu kuwa inaendelea na zoezi la kupokea mizigo itakayosafiri Kwa njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania.
Wiki hii ndege itasafiri Jumatano ya tarehe 25 mwezi wa 9.
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu
OUR CHINA ADDRESS...
Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa Usalama Afrika kwa mwaka 2024. Tuzo hii imetolewa na Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airport...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imetekeleza mashambulizi makubwa ya anga kusini mwa Lebanon, ikibainisha kuwa ndege zake za kivita zimepiga zaidi ya roketi 100 za Hezbollah na maeneo mengine ya "kigaidi," ikiwa ni pamoja na ghala la silaha.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema vizindua...
Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi .
Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.