ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  2. ward41

    Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

    Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege. Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
  3. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge, PIC Yaridhishwa na Uwekezaji wa Serikali Viwanja vya Ndege Nchini

    KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
  4. TODAYS

    Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii. Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo. Haya maisha yetu yanafikirisha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
  5. Mtoa Taarifa

    Ndege ya Air Tanzania kutoka Mumbai yapata hitilafu, safari yaahirishwa hadi Novemba 6, 2024

    MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE YA MUMBAI-DAR ES SALAAM 04 Novemba 2024, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi. Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
  6. U

    Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  7. F

    Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024. Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi. Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
  8. Mhaya

    Nchi zenye viwanja vingi vya ndege (Airports)

    Hivi umekwishawahi kujiuliza Tanzania tuna viwanja vingapi vya ndege? Kuna nchi hazina kiwanja cha ndege hata kimoja, tena nchi mbalimbali tu barani Ulaya. Sasa leo nakuletea nchi kumi zinazomiliki viwanja vingi vya ndege duniani. 10. Indonesia: Hii nchi inayopatikana huko Asia ina jumla ya...
  9. MK254

    Mifumo ya Rada ya Iran ilidukuliwa kabla ndege za Israel kufika, ndio maana walijipigia walivyotaka na kugeuza bila tatizo

    Hiyo mifumo ilidukuliwa wakapoteana, ndege za Israel zikawa zinajipigia tu, sema tatizo ni kwamba walipiga kwa malengo, hakuna rubani aliyepiga sehemu hakupangiwa, ila ingekua lile agizo la kijeshi inaloitwa "fire at will", Tehran ingewaka moto, maana hilo agizo humaanisha kwamba mwanajeshi...
  10. G

    Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
  11. A

    Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

    Jeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali. Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF...
  12. Vichekesho

    Kuna Ndege ya mojakwamoja toka Airport ya Mwl Nyerere mpaka Marekani?

    Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip (kwenda na kurudi) business class?
  13. enzo1988

    Angalia jinsi ndege isiyotumia rubani (drone) ikikatiza kwenye anga la Israel mpaka kwa Netanyahu!

    Vipi waliiacha makusudi?? Helikopta ilishindwa kuitungua?? Nyumbani kwa Netanyahu Nb:Muda utasema!
  14. Execute

    Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

    Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
  15. Waufukweni

    Wachezaji Nigeria watishia kususia mechi baada ya Saa 12 za Kuteseka Uwanja wa Ndege Libya

    Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini. Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia...
  16. Lycaon pictus

    Hizi ndege zinazotengenezwa Tanzania zinauzwa bei gani?

    Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi zinagharimu kiasi gani?
  17. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  18. U

    Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
  19. U

    News alert Kiongozi mwandamizi Hezbollah Wafiq Safa anusurika shambulizi ndege za IDF zikilipuwa jengo kubwa la ghorofa Lebanon, 22 wauawa

    October 11, 2024 LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut Today, 1:55 pm 13 Sky News Arabia reports that Hezbollah’s Liason and Coordination Unit chief Wafiq Safa is in...
  20. enzo1988

    Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

    Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake! Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake! Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake! https://twitter.com/home Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Back
Top Bottom