ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Kidagaa kimemwozea

    Mada ya ndege

    Picha za ndege na majina yao zitakuwa katika uzi huu
  2. errymars

    Cristiano Ronaldo anunua Ndege mpya Gulfstream G650 yenye thamani ya Bilioni 187

    https://fntaz.com/cristiano-ronaldo-anunua-ndege-mpya-yenye-thamani-ya-75-milion/
  3. Mkalukungone mwamba

    Naibu Waziri wa Ujenzi Godfrey Kasekenya : Uwanja wa ndege wa Sumbawanga ulipaswa kujengwa kuanza Mwaka 2016

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40. Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo ulipaswa kuanza Mwaka 2016 ila changamoto za kimkataba zilikwamisha ujenzi kuanza.
  4. D

    Ifahamu "TAPETUM LUCIDUM" kinachofanya macho yang'ae usiku kwa baadhi ya wanyama na ndege kama bundi

    Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma ya retina katika jicho la kiumbe hai. Sio viumbe wote wanayo, hii wamepewa viumbe baadhi ambao wapo...
  5. Ritz

    Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  6. I

    Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

    Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
  7. M

    Maajabu ya dunia: Ndege yaondoka Hongkong 2025 yafika Marekani 2024

    Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024. Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache...
  8. Ben Zen Tarot

    NDEGE YAONDOKA HONGKONG 2025 YAFIKA MAREKANI 2024

    Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024. Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache...
  9. Ritz

    Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

    Wanaukimbi. Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza. =============== Video shows the...
  10. Nyani Ngabu

    Vituo vya kijeshi nchi za nje na ndege za kizazi cha 5 na 6

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani. Kwa mujibu wa Umoja wa mataifa, duaniani kuna nchi 195. Katika nchi zote hizo, jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora. Maana yake ni kwamba Tanzania imezipita nchi 189 kwenye ubora wa kijeshi. Hakika Tanzania iko juu sana. Ubora...
  11. Cannabis

    Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  12. Mtoa Taarifa

    Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  13. Kitimoto

    Rais wa Russia Vladimir Putin Aomba Msamaha kwa Ajali ‘Mbaya’ ya Shirika la Ndege la Azerbaijan bila Kukiri Kuwajibika

    Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika. Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...
  14. Lycaon pictus

    Ndege inaweza kuruka juu chini?

  15. Bams

    Mifumo ya Ulinzi wa Anga Yadaiwa Kuidungua Ndege ya Aburia ya Azerbaijan

    Taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya Urusi vimeeleza kuwa kuna dalili kuwa ndege ya abria ya Azerbaijan iliyoanguka ndani ya nchi ya Kazakhstan, ikielekea nchini Urusi, imedunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi. Taarifa zinaeleza kuwa footage ya tukio inaonesha eneo la mkia wa...
  16. mr pipa

    Hivi utaratibu upoje wa kupokea parcel kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa

    Comment ziwe fupi fupi Uzi tayari
  17. Mkalukungone mwamba

    Ndege ya Azerbaijan yaanguka na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan

    Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan leo na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan. Katika operesheni kubwa ya uokoaji, manusura 29 wakiwemo watoto wawili waliokolewa...
  18. Manfried

    Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  19. Dalton elijah

    Ndege ya kivita ya Marekani yadunguliwa kwenye Bahari Nyekundu

    Ndege ya kivita ya Marekani imedunguliwa katika Bahari Nyekundu kwenye tukio linaloonekana kuwa "ufyatuaji wa silaha uliotokea upande wao", jeshi la Marekani limesema. Wafanyakazi wote wa Jeshi la Wanamaji la Marekani F/A-18 Hornet walitolewa nje wakiwa salama, huku mmoja akiuguza majeraha...
  20. A

    Al Houthi wa Yemen Wametungua ndege mbili za US

    American hata kubali utasikia ana dai sababu ni friendly 🔥 ni uwongo mtupu zimetunguliwa na Yemen Wengine wanasema ndege.moja.
Back
Top Bottom