Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imeanza safari kuelekea Marekani muda huu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑 BREAKING NEWS

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu’s plane has departed for Washington for a visit to US after being delayed earlier today,

according to an Al Arabiya correspondent.
Safe trip back and fro to BiBi💪

1785158246881.jpg
Plane-1.jpg
 
Wabongo bwana, yaani mtu anaenda kuomba msaada kwa mwanaume mwenzake anasifiwa ni komandoo?

Kwanini asiende kupigana mwenyewe mpaka akambembeleze mme wake aende naye? Huo ukomandoo wake unatoka wapi wakati anaenda kuomba msaada kwa kidume mwingine?

Embicile
 
Mkuu mbona una hasira sana shida nini
 
Mzee Neta kaenda kuchukua list ya majina ya viongozi wa iran wanaotakiwa kuwahishwa kwa mabikira
 
WATU WASIO NA MAARIFA HUFIKIRI ISRAEL INAPIGANA VITA NA IRANI KUMBE VITA NI YA IRANI NA MAREKANI;
ISRAELI IPO PALE TU KWA SABABU ILIDANGANYIKA IKAKUBALI KITUO KIKUBWA CHA KIJESHI CHA MAREKANI KIJENGWE KWAO. INAMAANA KILA VITA MAREKANI ATAKAYO ANZISHA UKANDA WA MIDDLE EAST NA ASIA, ISRAEL ITAPIGWA KWA KUWA NDIPO KITUO CHA KIJESHI KILIPO HUKU WAMAREKANI WAKIWA SALAMA SALMINI NYUMBANI KWAO....Sio kila msaada ni msaada mingine ni mtego....
 
WATU WASIO NA MAARIFA HUFIKIRI ISRAEL INAPIGANA VITA NA IRANI KUMBE VITA NI YA IRANI NA MAREKANI;
ISRAELI IPO PALE TU KWA SABABU ILIDANGANYIKA IKAKUBALI KITUO KIKUBWA CHA KIJESHI CHA MAREKANI KIJENGWE KWAO. INAMAANA KILA VITA MAREKANI ATAKAYO ANZISHA UKANDA WA MIDDLE EAST NA ASIA, ISRAEL ITAPIGWA KWA KUWA NDIPO KITUO CHA KIJESHI KILIPO HUKU WAMAREKANI WAKIWA SALAMA SALMINI NYUMBANI KWAO....
Endelea kudanganya hao watu wako wa shinyanga
 
Makobaz watumie hii nafasi kumtungua huko huko juu, sio kila siku wao tuu ndo wanapelekewa moto 😂
 
Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑 BREAKING NEWS

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu’s plane has departed for Washington for a visit to US after being delayed earlier today,

according to an Al Arabiya correspondent.
Safe trip back and fro to BiBi💪

View attachment 3638024View attachment 3638027
Waislamu toka msikiti wa shehe Tumbo si tulishatoa taarifa za kifo cha ndugu Benjamin Netanyahu? Usikute huyu wasasa ni AI.
 
Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑 BREAKING NEWS

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu’s plane has departed for Washington for a visit to US after being delayed earlier today,

according to an Al Arabiya correspondent.
Safe trip back and fro to BiBi💪

View attachment 3638024View attachment 3638027
Mi nawaza tu kwanini hakurudi tena vitani mara ya pili akamuachia mmarekani peke yake
 
Makobaz watumie hii nafasi kumtungua huko huko juu, sio kila siku wao tuu ndo wanapelekewa moto 😂
Wamuue wa nini wakati uongozi wake unaisha oktoba na tayari anaenda kusomewa hukumu ya kesi yake ya ufisadi wa mabilioni.
 
Mzee Neta kaenda kuchukua list ya majina ya viongozi wa iran wanaotakiwa kuwahishwa kwa mabikira
List ipi? Si akapigane mwenyewe kwanini mpaka alazimishe USA imsaidie?

Mie nasubiri siku Israel ipigane na Iran uso kwa uso bila marekani au saudia kuingilia ndio tuone huyo jamaa ana ujanja gani.
 
Mkuu hivi huna ile list ya viongozi wa iran waliwaishwa kwa mabikira?
 
List feki ile mfano kuna picha za majenerali waliodai wameuwawa ila bado kma ismael qaani, ahmad vahidi etc propaganda zimekua nyingi sana.

Waliokufa kma ni 20 kwa nchi ya watu million 100 ni kma kuchota ndoo ya maji baharini.
 
Wamuue wa nini wakati uongozi wake unaisha oktoba na tayari anaenda kusomewa hukumu ya kesi yake ya ufisadi wa mabilioni.
Ht muhula wake ikiisha, atakayekuja nae atawapelekea moto vilevile
 
Back
Top Bottom