Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

cencer09

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
5,159
Reaction score
3,318
Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani.
Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za kukabidhiwa kampuni moja ya Oman ikihusishwa na kigogo mmoja asiye na nafasi serikalini ila ni mtoto wa mkubwa.

Hivi hizi gharama kubwa zinamnufaisha nani?
 
Wakati hiyo dola 90 unapata ticket ya kwenda na kurudi Durban kutokea Johannesburg...
Kilimanjaro gharama kwa ndege kutua ipo juu sana wageni wengi wanaamua kushukia Nairobi harafu wanakuja na shuttle miaka nenda rudi wala hata Viongozi hawastuki kitu..
 
Back
Top Bottom