Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Dunia ya sasa imepoa sana.
Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani haipoi wala haiboi. Ni vibe tu full time.
Hata bata lilikuwa bata kweli, sasa hivi wengi ni washamba wa pesa ndiyo maana wanatumia pesa kishambashamba.
Sasa hivi vijana wamekalia kumsikiliza Drake na Future. Wanajiita wahuni ila mlolongo wao wa dhambi wala haushtui. Kwenye harakati za siasa ndiyo kabisa hawajishughulishi, halafu wanataka maisha yao yabadilike.