Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

Sasa ndugu yangu mfano zamani watu kuvamia benki ilikuwa rahisi hata namna ya kutoroka na kutoonekana.
Dunia imebadilika kwa sasa kwanza uwepo na kamera kisha uwepo wa mawasilianao ya haraka simu na uwazi wa barabara..
Leo hii ukiiba wakati unafanya tukio tayari umeonekana hivo ni rahisi kudhibitiwa,
Lakini haitoshi hata pahali pakukimbilia kujificha ni wapi maana tayari uwepo wa mawasiliano unawezesha taarifa kusambaa juu uhalifu so unapopakimbilia tayari taarifa imefika.

So technolojia imekuja kupunguza sana wizi wa kizamani,

Hata hizo uvamizi na wizi na utekaji wa kisasa upo ni kupitia technolojia hiyo hiyo ndo maana ukasikia haga neno VIRUS ambapo kupitia njia hiyo watu wanaiba mafaili na taarifa nyeti kupitia mtandao,
Waulize wanaofanya FOREX watakuambia namna wannavopigwa pesa online.
Kiufupi matukio ya kisasa ni makubwa zaidi ila yanafanywa kwa akili kubwa sio kama zamani watu wanajipeleka tu mwili mzima mzima.
Ndo maana pia wizi wa sasa ivi hufanyiki physical kama zamani labda wa yule wa mwanza😅.. Sa ivi ni mwendo wa IT na kuamisha tuu njulu na kulala mbele
 
Dunia ya sasa imepoa sana.

Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani haipoi wala haiboi. Ni vibe tu full time.

Hata bata lilikuwa bata kweli, sasa hivi wengi ni washamba wa pesa ndiyo maana wanatumia pesa kishambashamba.

Sasa hivi vijana wamekalia kumsikiliza Drake na Future. Wanajiita wahuni ila mlolongo wao wa dhambi wala haushtui. Kwenye harakati za siasa ndiyo kabisa hawajishughulishi, halafu wanataka maisha yao yabadilike.
Mashoga wengi
 
Back
Top Bottom