Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii.
Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika mpango wa kuanzisha kampuni ya ndege ya Serikali, hatua inayolenga kuimarisha usafiri wa anga, kukuza utalii na kuongeza fursa za biashara na uwekezaji Zanzibar.
Akizungumza wakati wa mapokezi ya safari ya kwanza ya moja kwa moja ya EgyptAir kutoka Misri hadi Zanzibar, iliyowasili alfajiri ikiwa na abiria 152, Dkt. Khalid amesema Serikali inaona umuhimu wa ushirikiano huo katika kuimarisha sekta ya usafiri wa anga.
See less