Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Na Ferdinand Shayo, Manyara.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amenunua ndege binafsi aina ya Helkopta ambapo ametua kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Stedium akiwa ameambatana na familia yake.
Mulokozi anaingia miongoni mwa Watanzania...
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita...
Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuzuia ndege za shirika la ndege la Air Tanzania kuingia katika anga la nchi wanachama wake, jumla ya nchi 28, kwa madai kuwa shirika hilo halijakidhi vigezo vya kimataifa vya usalama wa anga.
“Umoja wa Ulaya leo umesasisha orodha ya mashirika ya ndege yanayozuiwa...
Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air Tanzania, ambayo imeongezwa kwenye orodha kufuatia wasiwasi wa usalama ulioangaziwa na Shirika la...
Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili.
Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.
Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
Katika kuadhimisha Siku ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) ambayo kilele chake ni Desemba 7, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amesema kwa sasa hakuna ndege ambayo inaweza kuingia kwenye anga la Tanzania bila kuonekana.
Akizungumza na Waandishi wa...
Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus.
Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa.
Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na hawaoneshi dalili yeyote ya kupigwa shoti.
Lakini ukipita kwenye gridi ya taifa 220Kv utawaona...
Wakuu
Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport
==
Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
Nimejikuta nazikumbuka sana monents za Fast Jet miaka ya 2010's
Ni kipindi nachoweza kusema nilitoa ushamba wa ndege, ndege ilikuwa kama basi la mkoani.
Ilikuwa ni mkombozi mkubwa sana kwa watu wenye uchumi wa kawaida.
Ndege zilikuwa zinajaa inabidi ukate ticket mapema,
Nilichokuwa...
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.
Hii imekaaje kisheria?
Salam wadau.
Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha wadau
Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu
Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
Wakuu,
Si wote tunaweza kwenda China kufuata mizigo hasa hii midogo midogo ya matumizi ya kawaida na pengine biashara. kwa miaka takribani mwili nimekuwa nikiagiza kupitia hawa jamaa wanaitwa UNIQUE CARGO awali walikuwa wanafanya vema lakini kwa siku za karibuni naona wanasua sua. mzigo wa...
Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa
Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama itasafiri, lakini muhimu zaidi, itasafiri kwa wakati uliopangwa kwenye ratiba. Hii ni kwa sababu, watu...
Na...
Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia!
Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji.
Yaani…
Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji?
Ukweli ni Kwamba…
HIYO NJIA IPO NA...
Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus.
Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa.
Katika kipindi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.