Mara nyingi ,Faith Macharia hukutana na wakati mgumu anapokutana na watu njiani, wengi hugeuka kumtazama tena.
Hii hutokea kwa sababu ya jambo ambalo hawezi kuligeuza, kwamba yeye ni mwanamke ila na ana ndevu kama mwanaume.
Ni jambo ambalo yeye mwenyewe lilimpa kiwewe mwanzoni na ilichukua...