ndevu

Mthembeni Ndevu (born 15 September 1992), better known by his stage name Emtee, is a South African rapper. He is best known for his debut hit single, "Roll Up". Emtee was signed to Ambitiouz Entertainment, a South African independent record label. His debut album Avery was certified platinum by RISA on 1 July 2016.Avery included his breakthrough hit "Roll Up" and the follow-up hit single "Pearl Thusi". Emtee released his third album Manando in September 2015, the title referring to his late brother. His third album DIY 2 was released in 2018 and marked his final release with Ambitiouz Entertainment, following his departure from the label in August 2019. He then launched his own label in September the same year.

View More On Wikipedia.org
  1. Vhagar

    Ndevu zimegoma kuota

    Hello guys! Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote? Asili ya nyumbani wote wana ndevu. Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana. Bt si kwamba...
  2. XII Tz

    Namna ya kuota ndevu haraka

    Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
  3. Sigara Kali

    Anaejua dawa ya kuongeza ndevu na mvi anishtue

    Wananzengo salama? Nahitaji dawa ya kuongeza ndevu pamoja na mvi za kichwani na kwenye ndevu Nina mvi chache kwenye ndevu na nyingine kichwani so nahitaji ndevu zote ziwe nyweupe na kichwani pia Kama kuna dawa unaifahamu nambie inaitwaje.
  4. DR HAYA LAND

    Cosota Wanaweza nipatia kibari cha Msemo wangu huu "kufuga ndevu nikupenda wembe sh 100"

    Je huu msemo wangu au ushairi pale cosota wanaweza nipatia haki miliki "kufuga ndevu nikupenda wembe sh .100"
  5. Pain killer

    Nifanye nini nisiote ndevu?

    Habari wakuu Mimi binafsi swala la ndevu naliona kama kero, nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili asiewe na ndevu . Kuna muda ndevu zinanipotezea muda, zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ... Mwenye namna yeyote wakuu msaaada
  6. Syolosu

    Swali: Je kuna dawa ya kuzuia ndevu kupata

    Natumai mpo poa!; na wenyeshida poleni sana. Leo nimekutana na mmasai mmoja ananiambia anadawa ya mitishamba ya kuzuia ndevu kuota. Anadai unapaka mfano kwa kufuata kuliacha labda umbo la O vile unataka au zote zisiote .Pia nywele za kwapani hata ikulu. Nikashituka mmm! hivi kweli hichi kitu...
  7. Mdau jf

    Naomba kufahamu dawa ya kuzuia NDEVU kuota haraka

    Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema muisrael. Kwa yeyote anaye fahamu dawa ya kuzuia ndevu kuota kwa haraka ama kuzuia zisiote kabisa...
  8. MrsPablo1

    Mafuta ya kutunza, kukuza ndevu kwa bei poa

    Kwa muonekano mzuri wa ndevu zako tumia mafuta haya hujaza ndevu,huzipa ndevu mng’aro ,kuzuia muwasho,,kuzuia vipele na kuafanya ndevu zichanike kirahisi.. Suffer from a dry and brittle beard ? , we crafted a simple beard care routine to get your beard moisturized, soft,shining and promotes...
Back
Top Bottom