Wakuu,
Hivi ni nini hasa kilikuwa kinamsumbua MC Pilipili?
Nimeona kwa hii video akiwa anazungumzia kipindi ambacho hakuwa sawa na alikuwa anapitia msongo wa mawazo.
Ni kuachwa na mkewe tu ndo kulisababisha yeye kupata msongo wa mawazo au kuna kingine
Nifah nakusalim
MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni.
Kukataa kiapo muhimu katika muktadha wa ndoa ya Kikristo, ambacho kinasisitiza uvumilivu katika changamoto za...