McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mbn ni kma picha ni ya zamani ile?Nasikia alikata moto baada ya x wake kupost picha mjamzito.
Siri ya kaburi aijuaye maiti, tumuache apumzike kwa amani huku tukijikita kwenye mijadala ya Kitaifa.Wakuu,
Hivi ni nini hasa kilikuwa kinamsumbua MC Pilipili?
Nimeona kwa hii video akiwa anazungumzia kipindi ambacho hakuwa sawa na alikuwa anapitia msongo wa mawazo.
Ni kuachwa na mkewe tu ndo kulisababisha yeye kupata msongo wa mawazo au kuna kingine
Nifah nakusalim
Adam na EvaWakuu,
Hivi ni nini hasa kilikuwa kinamsumbua MC Pilipili?
Nimeona kwa hii video akiwa anazungumzia kipindi ambacho hakuwa sawa na alikuwa anapitia msongo wa mawazo.
Ni kuachwa na mkewe tu ndo kulisababisha yeye kupata msongo wa mawazo au kuna kingine
Nifah nakusalim
😹😹😹Adam na Eva
Samson na Delillah
Masanja na Mkewe
Kuna mada zinatupa elimu wanamme, wewe ni binti unaweza kuwa chanzo cha kifo kwa mume/boyfriend au mchunbako hivyo kupeana 1,2,3 ni jambo jema....
Au niseme kwamba mijadala hii kwa sasa nimeiweka kando, japo nimeumizwa sana na kifo chake ila Taifa kwanza.
....
Well said 👸.Siri ya kaburi aijuaye maiti, tumuache apumzike kwa amani huku tukijikita kwenye mijadala ya Kitaifa.
Au niseme kwamba mijadala hii kwa sasa nimeiweka kando, japo nimeumizwa sana na kifo chake ila Taifa kwanza.
Mungu ampe pumziko na mwanga wa milele.
Mimi nisumbuliwe na mwanamkeMC PILIPILI, kilicho muua ni msongo wa mawazo kuhusu aliekuwa mke wake.. na hasa baada ya kuona mke wake pendwa kawekwa mimba.. Ila wanawake mmmh! Tusihi nao kwa machale
Tunatofautiana kakaMimi nisumbuliwe na mwanamke
??!!!
Huyo mwanamke Nampa R.I.P MOYONI.
NB. JIPENDE MWENYEWE JIPE POLE KULA VIZURI TUMIA PESA YAKO KIFUPI ENJOY
Watu wanasema ni matatizo ya ndoa..Tunatofautiana kaka
Unachosema ni kweli mkuu.Watu wanasema ni matatizo ya ndoa..
Mimi ni heartless sina upendo ulio pitiliza ila nipo very humble msikivu sana sanaa mtulivu sana sanaa mwelewa sana sanaa
Nina familia yangu changa naipenda ila nampenda mke wangu ila akizingua tunagawana mbao....
Issue ni kujipenda mwenyewe acha makundi, ulevi , KAMPANI mbovuu...
Huu mzigo inaonekana ndio source ya matatizo, wote tumepitia huko,RIP KamandaMC PILIPILI, kilicho muua ni msongo wa mawazo . Ila wanawake mmmh! Tusihi nao kwa machale
Sasa unamfuatilia ex wa nini ? Mkiachana achaneni mazima sio kuzidi kufuatilianaNasikia alikata moto baada ya x wake kupost picha mjamzito.
Aahhh sema kweli mkuuAlikua anatumia njugu huyo.