Kumbukizi MC Pilipili: Muda mwingi niliokuwa napost niko sawa, sikuwa sawa

Kumbukizi MC Pilipili: Muda mwingi niliokuwa napost niko sawa, sikuwa sawa

Moja ya kitu wanaume wengi tunafanya siku hizi, ni kuwa vinga'ng'anizi, we don't move on. Hata tukiona dalili zote za meli kuzama tunakuwa pale bila kuchukua hatua.
 
Siri ya kaburi aijuaye maiti, tumuache apumzike kwa amani huku tukijikita kwenye mijadala ya Kitaifa.

Au niseme kwamba mijadala hii kwa sasa nimeiweka kando, japo nimeumizwa sana na kifo chake ila Taifa kwanza.

Mungu ampe pumziko na mwanga wa milele.
Mitano tena kwako Nifah ,Taifa kwanza.
 
Back
Top Bottom