The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Nadhani sio ndoa peke ake, Ukiangalia hapo ni mixture ya mambo mengi, kuondokewa na mama yake, Maisha ya usanii kumkataa, Na mwisho kukosa faraja kabisa kwa alie kua mke wake.
Mc pilipili na mkewe😭😭😭😹😹😹
Mnavyoplay victim’s sasa khaaa!! 🙌
Aliendekeza mapenzi akawekeza zaidi kwenye hisia kuliko uhalisiaWakuu,
Hivi ni nini hasa kilikuwa kinamsumbua MC Pilipili?
Nimeona kwa hii video akiwa anazungumzia kipindi ambacho hakuwa sawa na alikuwa anapitia msongo wa mawazo.
Ni kuachwa na mkewe tu ndo kulisababisha yeye kupata msongo wa mawazo au kuna kingine
Nifah nakusalim
Wanawake hawa ndo wanawaua wanaume wasio na maamuzi.
Kwahiyo unataka Kila ambae hajafikia level ya Gara B ateseke Kwa mapenzi ?Ni maisha ya usanii yalivo mkataa ndo akadata, Hivi unadhani angeendelea kua on peak kama Gara B, Angehakaika na jale kademu? Si angevuta pisi nyingine chapu
Mkiambiwa tuigeni Wakongwe kwa kuwa na Wanawake wengi wa Kuwatomba kutwa ili kutokuwa na Stress na Frustrations hamtuelewi na mnatuona Wahuni. Mwanaume mwenye Akili timamu hawezi kuwa na Mwanamke mmoja katika Maisha yake. Acheni yawakuteni tu.Wakuu,
Hivi ni nini hasa kilikuwa kinamsumbua MC Pilipili?
Nimeona kwa hii video akiwa anazungumzia kipindi ambacho hakuwa sawa na alikuwa anapitia msongo wa mawazo.
Ni kuachwa na mkewe tu ndo kulisababisha yeye kupata msongo wa mawazo au kuna kingine
Nifah nakusalim
inauma sana ex akijazwa mimba na mjuba mwingine. Kuepuka misongo ya mawazo kama ukiachwa usimfikirie sana, ona kama alikuwa changudoa ukala kwa muda kisha akaondoka na kwenda kuliwa kwingineNasikia alikata moto baada ya x wake kupost picha mjamzito.
Upige show utapigiwa,ukiwa na hela utapigiwa,ukiwa mcha Mungu utapigiwa. Ricardo Kaka pamoja na kuwa fit uwanjani kagongewa, Scotie Pipin nae kagongewa hawa wote physically wapo fit,kuna vidali vinagongewa mademu/wake zao na vizee au vijana wenye vitambi,cha msingi husimpe mtu asilimia zote kwenye mapenzi, husitumie nguvu (kuhonga kupitiliza) nyingi kumpata mwanamke na kumwonesha unampenda sana na pili tujitahidi kuoa wanawake wenye hofu na wanao mjua Mungu (kwa wale wanao amini katika Mungu).Vijana mkioa hakikisheni mnapiga shoo kisawasawa msije mkaachwa na wake zenu kizembe. Hakikisheni mnazaa watoto wasiopungua wawili kama si watatu kabisa wa harakaharaka. Mtoto mmoja demu wako atapokolewa kwingine bila uzito, watoto watatu si rahisi kuolewa kwingine kirahisi. Labda kama humpendi mkeo hapo hutakuwa na stress hata akiondoka poa tu
Jamaa yetu, alishikwa moyo hasa na huyo bidada si unaoana hata alivyokuwa analia lia kwenye mediaHuu mzigo inaonekana ndio source ya matatizo, wote tumepitia huko,RIP Kamanda
Njugu ndio nini tena shekhe?Alikua anatumia njugu huyo.
Eti ukimwi,wabongo bhana🙌,,,ukifa wanasnza sema uliacha dozi🙌Njugu ndio nini tena shekhe?
... yajue mapenzi ototoni au ukubwani lakini Delilah wako akikufikia lazima akutoe ushamba! ... wengine huwa yanawakuta uzeeni wakati amekutana na wanawake sampuli kama zote!Jamaa ni kama vile aliyajulia mapenzi ukubwani.