Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza...
Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi...
Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.
Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo.
Matatizo sasa yanaanzia hapa:
1. Baada ya kumuoa...
Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.
Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.
Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia...
WOSIA SIKU YA NDOA YANGU KWA MWANAMKE NITAKAYEMUOA
Picha: www.wikipedia.com
Mwandishi: Emmanuel P. Peter Jr.
Mob/WhatsApp: +255 788000273
Email: emmapeter759@gmail.com
Instagram: emmapetertz
Source: -------NIL------
“Maisha yanaenda kwa kasi sana, siku hizi mwanamke mwenye tako anajiamini...
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa maumivu yasiyo na kifani
Nilianza kuishi na mke wangu huyu 2008 kabla ya ndoa na tukabahatika kupata watoto wawili na mwaka 2018 january tukaamua kubariki ndoa
Na kilichokuwa kinachelewesha ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.