Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza...