ndoa za utotoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Nasimama na bunge la Iraq kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Amini kwamba Kuna baadhi ya mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Haya Sasa twende Kazi. 👇👇👇 Kumekuwa na Kelele nyingi Sana kutoka Kwa watu wanao jiita watetezi wa haki za binadamu baada ya Bunge la Iraq kupitosha Sheria inayo ruhusu wasichana wenye umri wa miaka Tisa...
  2. Eli Cohen

    Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto. Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka...
  3. Lady Whistledown

    UNICEF: Ukame na Mafuriko huchochea ongezeko la Ndoa za Utotoni

    Ripoti ya Mei, 2023 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), imeonesha jumla ya watoto milioni 640 wa mataifa mbalimbali chini ya miaka 18 wamebainika kuolewa, Tanzania ikiwepo. Ripoti hiyo imebainisha kuwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini hali ni mbaya zaidi...
  4. B

    Iraq: Wanaharakati wapinga Sheria ya umri wa ndoa kuanzia miaka 9

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa, jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  5. Yoda

    Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9. Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
  6. Torra Siabba

    Waziri Gwajima, sikia kilio cha Watoto wanaofanyiwa ukatili, Ubakaji, mimba, ndoa za Utotoni Uyui (Tabora)

    “Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.” Ni sehemu ya simulizi ya...
  7. Amani Girls Organization

    Nguvu ya Mabadiliko: Vita Dhidi ya Ndoa za Utotoni katika kijiji cha Twa Twa Twa

    Wasichana balehe (wenye umri kati ya miaka 10-19) wakiwa katika mafunzo juu ya madhara ya Ndoa za Utotoni Ndoa za utotoni ni tatizo sugu nchini Tanzania na zinaathiri zaidi wasichana: asilimia 92.5 ya ndoa zote za watoto zilizoripotiwa ni za wasichana. Kwa mujibu wa kiashiria cha magoli...
  8. Hakuna anayejali

    Serikali, kemeeni mila potofu ya Wamasai na Wasukuma kuposa watoto wakiwa wadogo

    Ninakwazika sana na unafiki wa serikali na asasi za kutetea haki za watoto.Mmekuwa mnapiga vita ndoa za utotoni na kupigania haki ya kupata elimu. Mbona wamasai,wasukuma bado wanatabia mbaya ya kuweka oda binti angali mdogo na akibalehe tu wanaoa mpo kimya,huyu binti anakosa haki ya elimu, haki...
  9. Miss Zomboko

    Child marriage ban welcomed in Sierra Leone

    Sierra Leone has brought in a new law banning child marriage with much fanfare at a ceremony organised by First Lady Fatima Bio in the capital, Freetown. Invited guests, including first ladies from Cape Verde and Namibia, watched as her husband President Julius Maada Bio signed the Prohibition...
  10. T

    Mkasa wa Majonzi: Je, ni mila zitakuwa zimesababisha huyu binti kujiua?

    Jamii, mkasa huu ni wa kusikitisha Sana. Jana majira ya saa 1 kasoro jioni kitongojini kulitolewa tangazo la bint mwenye umri Mimi nakisia ni Kama miaka 14 kuwa amepotea toka majira ya mchana alienda kutafuta kuni Hadi majira hayo ya jioni hajaonekana. Ilipofika majira Kama saa 2 usiku huo...
  11. U

    SoC04 Kuondoa Ukatili wa Kijinsia na Ndoa za Utotoni

    UTANGULIZI: Tanzania inatakiwa kuwa na malengo ya kuwa nchi yenye usawa wa kijinsia na kuheshimu haki za binadamu kwa wote. Moja ya changamoto kubwa ni ukatili wa kijinsia na ndoa za utotoni. Kuondoa changamoto hizi ni muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika miaka ijayo, Tanzania...
  12. JOHNGERVAS

    SoC04 Tanzania tuitakayo baada ya miaka sita kufikia 2030 ni kufuta mimba za utotoni na ndoa za utotoni

    TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
  13. B

    Ndoa za utotoni na mimba za utotoni zinakwenda sambamba

    Tukimaliza ndoa za utotoni tutakua pia tumepunguza mimba za utotoni
  14. Shining Light

    Kitu gani ungependa kubadilisha katika familia ya wazazi wako?

    Nimegundua familia nyingi sana ya sisi wa Afrika, kuwa kuna kauli mama hawezi ziongelea, kumwambia mumewe hata kama sio sawa, n.k Baba anapochukua maamuzi hata kama sio sawa mama huwa hana kauli yeyote, kwa mfano ndoa za utoto hili bado lipo sana katika jamii zetu kuendana na mila na desturi...
  15. Jaji Mfawidhi

    Sofia Mjema kushauri ndoa za utotoni

    Leo 22-10-2023 Serikali imetengua nafasi ya Katibu uenezi wa CCM -Sophia Mjema ambaye hajadumu hata kwa miezi 3 kutokana na kupwaya sana na baada ya nafasi ya kumuweka kukosekana imetengenezwa nafasi ya kuwa mshauri wa Raisi mambo ya wanawake na watoto; Serikali imesaini mkataba waDP World na...
  16. The Sheriff

    Kama sheria zinamnyima mtoto kupiga kura au kuajiriwa, kwanini zimkubalie kuingia kwenye ndoa?

    Sheria katika nchi nyingi, ikiwemo Tanzania, zimeainisha umri wa chini wa miaka 18 kama kipimo cha mtu kutostahili kupiga kura. Dhana hii inatokana na imani kwamba hawajakomaa kifikra na kimawazo vya kutosha kufanya maamuzi ya kisiasa. Kwa mtazamo huu, ni kwamba kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa...
  17. Pfizer

    Uelewa mdogo wa jamii juu ya Uzazi wa Mpango, ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni

    Ukosefu wa Elimu ya Uzazi wa Mpango katika Jamii nyingi hasa Wazazi, hupelekea watoto wao kupata mimba za Utotoni ambazo nyingi husababisha ndoa za utotoni. Vijana wengi hawana Uelewa juu ya mabadiliko yao ya kimwili yanayoambatana na kuanza mahusiano ya kimapenzi kwenye Umri mdogo bila kuwa na...
  18. Peter Mwaihola

    Sheria ya ndoa iboreshwe kupunguza ndoa za utotoni

    Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa kwenye mjadala wa namna ya kudhibiti ndoa za utotoni ambazo bado zinashamiri katika baadhi ya maeneo hususani vijijini. Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya 1971 ya Tanzania inatoa uhuru kwa msichana mwenye umri wa miaka 14 na mvulana mwenye miaka 18 kuolewa na kuoa...
  19. Nyendo

    BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  20. beth

    Haki za Wasichana: LHRC yashinda kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mnamo mwaka 2019 kilifungua shauri dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa niaba ya wasichana wa Tanzania katika Kamati ya Afrika ya Wataalamu ya Haki na Ustawi wa Mtoto Shauri hilo lililenga kuwatetea wasichana wa Tanzania wanaopata ujauzito wakiwa bado shuleni...
Back
Top Bottom