Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni.
Zlatan amesema wanaoathirika zaidi ni wasichana wanaoishi vijijini huku akitaja madhara wanayokumbana...
Halmashari ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi inadaiwa kukithiri kwa tatizo la mimba na ndoa za utotoni huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni uwepo wa mila na desturi za baadhi ya makabila wanaoishi katika eneo hilo.
Tatizo hilo limebainika wakati shirika lisilo la kiserikali la Marie Stopes...
Hali ya Ndoa za utotoni Barani Afrika kwa ujumla
Kulingana na Taasisi ya Takwimu ya UNESCO, kuna watoto milioni 32 ambao hawajaenda shule wa umri wa msingi barani Afrika na vijana milioni 28 wasioenda shule - viwango vya juu zaidi ulimwenguni.
Inaelezwa kuwa katika Bara la Afrika, wasichana...
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee...
Ndoa za utotoni ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kwa wasichana. Sheria ya Elimu nchini Tanzania, ya mwaka 1978 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2016 inapiga marufuku ndoa za wanafunzi; hata hivyo, Sheria haijasema lolote kuhusu wasichana ambao hawako shuleni na kwa umri wao wangepaswa...
TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe.
Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
Wasalaam wana MMU.
Nyuzi kuhusu ndoa kuwa ni chungu, yenye mateso zimekuwa ni nyingi sana humu jukwaani.
Leo nimeona nitoe ushuhuda wa maisha yangu ya ndoa ndani ya miaka 14. Kwangu mimi ndoa imekuwa ni baraka sana na yenye furaha.
Natoka katika jamii ambayo elimu haikuwa kipaumbele kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.