ndondi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Bondia Hassan Mwakinyo azidi kushuka viwango vya ubora wa ndondi

    Mambo yanazidi kumuendea kombo bondia Hassan Mwakinyo baada ya kuporomka kwa mara nyingine kwenye ubora. Wiki iliyopita bondia huyo namba moja nchini aliporomoka kwa nafasi 16, kutoka ya 17 hadi 33 duniani kwenye uzani wake wa super welter. Jana ameporomoka tena kwa nafasi mbili hadi nafasi ya...
  2. Deejay nasmile

    Tony Rashid vs Mahlangu ulingoni tena

    Ijumaa hii,25 feb 2022 wanarudiana tena..ikumbukwe pambano la kwanza Tony alipigwa. Sasa sijui safari hii anatuwakikisha vipi Watanzania
  3. Merci

    Angalia pambano kali la ndondi (Boxing) kati ya Canelo Alvare vs Caleb Plant

    Wale wapenzi wa boxing unaweza kuangalia sasa pambano la Canelo vs Plant kupitia link hii Boxing : Canelo Alvare vs Caleb Plant - HesGoal.Com Sports News
  4. Analogia Malenga

    Bondia afariki baada ya kupigwa KO katika shindano la ndondi

    Maswali yanaulizwa kuhusu taratibu za usalama katika ndondi ya Zimbabwe kufuatia kifo cha Taurai Zimunya baada ya kupigwa katika pambano mjini Harare. Zimunya, 24, wa uzito wa Super bantam, alifariki siku ya Jumatatu, baada ya kuzimia wakati wa pambano lisilo la ubingwa siku ya Jumamosi. Ni...
  5. poposindege

    Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo

    Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo mwenye umri wa miaka 38 katika pambano la kugombea mkanda wa ABU (African Boxing Union) uzito wa Super Welter katika ukumbi wa Kilimanjaro Hall, Ubungo Plaza, Dar-Es-Salaam. Rekodi ya...
  6. screpa

    Mchezo wa Ngumi (Boxing) unaelekea kufa tena wasiporekebisha haya

    Kwa kipindi cha miaka kama miwili hivi mchezo wa ngumi ulionekana kurudi kwa kasi na kuanza kufuatiliwa na watanzania wengi kama ilivyokuwa huko nyuma enzi za kina Rashid Matumla. Hii ilichochewa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa Mwakinyo ambaye alipata jina baada ya kumtwanga Mwingereza ambaye...
Back
Top Bottom