Sikulazimishi ukubaliane na mimi lakini huu ndio ukweli mchungu.
Kama siyo ubora wa bunge Prof. Kitila asingeutema ukatibu mkuu wa kusimamia huduma ya maji Tanzania nzima na kwenda Ubungo.
Mnyeti na Paul wasingeukacha ukuu wa mkoa ambao wabunge wote mkoani wako chini yako na kwenda majimboni...
Ni ukweli usiopingika yapo mambo Watanzania hawayajui, ni kweli baadhi ya wabunge hasa hao wenye fujo, baadhi yao wanatumia dawa za kulevya, bangi na pombe kali.
Anakuja pale si yeye, we unadhani ni yeye, kumbe si yeye, kwa hiyo ni tabu. Watu wa namna hiyo ukiwapa kamera ni tabu,- Spika wa...
Job Ndugai amehudhuria sherehe za kuvunjwa kwa Baraxa la Wawakilishi kilikofanywa na Rais wa Zanzibar mh Sheim.
Ndugai alikuwa amevalia Joho la Spika wa bunge la JMT kama alivyoonekana kupitia luninga ya ITV.
Je, baada ya bunge kuvunjwa Job Ndugai anaendelea kutambulika kama Spika?
Maendeleo...
Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe.
Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari.
=====
Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
By any stretch of imagination, kesi hii huwezi kuiweka katika kundi la Vexatious, frivolous, scandalous, trivial case kama ilivyoamuliwa mahakama zetu. (kuna hukumu moja imesema hivyo).
Issues raised by the plaintiffs are so obvious hata kijana wa diploma ya sheria kule Institute of Judicial...
Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.
Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.
Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa...
Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake?
Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?!
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.