Habari za muda huu ladies and gentlemen.
I wish nisikwaze mtu yeyote kwenye huu uzi.
atakaekwazika naomba anisamehe saaana
kijana mwenzenu () niko katika mchaka mchaka wa kupambana na maisha kama ilivyo ada
nimejiwekea malengo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu niwe na milioni 3 na zaidi...
Niwatakie mfungo mwema.
Nimesikia kwenye kipindi cha njiapanda leo huyo mdada alikaribishwa na mwenyeji wake huko dar, lakini juzi wakati mfungo unakaribia mwenyeji wake akamwambia aondoke maana mfungo unaanza!
Sasa mwezi mtukufu na kutimua wageni inakaaje kaaje hii? Ukizingatia mgeni mwenyewe...
NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama.
2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache nini, ni buffet. Mimi kwa kweli nilikuwa naona kero. natamani kuishi maisha ya watu wengine unakuta...
Habari zenu? Kunakipindi nilileta uzi huu, Ndugu zangu nashindwa kuwaelewa
Baada ya kuvuta jiko niliishi na mke wangu, mwezi wa 11/2021 tulibahatika kupata mtoto na mke wangu, sikuwa na hiyana niliona japo ndugu zangu walinikosea kiasi fulani acha niwataarifu japo mke wangu alipata PPH...
Kuna maelekezo nimeyasikia kutoka utumishi kuhusu watu waliostahili kupandishwa madaraja 2018 na kuendelea hawakutendewa hivyo.
Katibu mkuu utumishi ameelekeza maafisa utumishi katika halmshauri zetu kuomba watu hao wapandishwe kwa mseleleko.
Mwenye uhakika na hii habari tafadhari.
Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia.
Ni ndefu sanaa we somaa.!
Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!!
Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu.
Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?!
Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe...
WATU wa Mungu jf niwasalimie kila mtu kwa imani yake
Bila jali mitazamo yetu tofauti ila ni imani Yangu sie ni Ndugu tu,
Usiku wa kuamkia leo nimeguswa na yule ajuaye nini makusudi yake kunifanya niwe hai leo, na nini kusudio lake kunileta duniani ,nami ni vyema share nanyi baraka hizi
Ni...
Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana...
Leo naomba niongee na wanaume wenzangu.
Kwanini sisi wanaume hatupendani?
Tunawalaumu wanawake kuwa hawapendani ilihali na sisi pia hatupendani. Nitaeleza kwanini nasema hivi.
Unakuta mtu kwa makusudi anafahamu kuwa huyu mwanamke ni mke wa mtu. Mwanaume mwenzangu kamtolea mahari, kajipiga...
Kwa kawaida nikiingia google huwa naweza kujua nini kinatrend Tanzania kwa sababu ya ile algorithm yao ya google autocomplete , nilikuwa nataka kusoma habari za raisi wetu lakini sijaelewa kipi kinachoendelea, hivi nini kinaendelea?
Nawasalimu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili.
Mama yangu ni mke wa pili kwa Mzee. Aliolewa na Mzee baada ya mamkubwa kufariki miaka ya sabini. Nikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.