Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma, imewahukumu adhabu ya kifo, wakazi wawili wa kijiji cha Msebei katika Wilaya ya Uvinza baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua kikatili mkata kuni kijijini hapo kwa kutumia shoka.
Mtuhumiwa mkuu wa mauaji hayo, Hamis Nzovu ambaye alimkata marehemu...