Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Habari zenu,
Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani.
Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan...
Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi.
Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike...
Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia .
Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu...
Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri...
#mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo...
UTANGULIZI
Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
Habari za muda huu wapendwa
Bila shaka kwenye safari ya maisha kila mmoja wetu amewahi kukumbana na visa na mikasa mbali mbali kwenye purukushani za maisha
Mikasa ambayo imekuwa ikitupa mafunzo na mafundisho maishani mwetu na wakati huo huo kubadilisha kabisa mitazamo ya maisha yetu juu ya...
Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi.
kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
Habari za wakati huu wanajf kuna hope mko powa? Niende moja kwa moja kwenye mada maana hili suala huwa naona kama ndugu waliofanikiwa hawatumii akili.
Miaka ya nyuma sana takribani kama miaka 12 enzi hizo sina mbele wala nyuma yaani hohehahe nilikuwa sina kazi yoyote ile but nilikuwa nimehitimu...
Wakuu habari!!!
Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi.
Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja.
Nimeamua nije kwenu nahitaji msaada maana duuh!Hali inakoelekea naona mwanga...
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye
Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na...
Hii barabara ina walalahoi wengi,
Hii baabara inaenda baraza la mitihani
Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba
Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's
Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya...
Kuna muda unaweza kwenda kwa ndugu kuwasalimia iwe likizo au kutalii mji, ila bahati mbaya wakawa wana chumba kimoja tu na sebule, hivyo ukaambiwa utakuwa unalala sebuleni na watoto wadogo pale.
Sasa wale wahanga njooni mtuambie ukitaka kwenda bafuni kuoga unafanyaje, na vipi ukitaka...
Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.
Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu
Kisa Cha...
Salamu kwenu jukwaa!
Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na...
Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU.
Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi.
VYUO hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.