nelson amenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyeibua kashfa ya Adan, afichua mpango wa kukodishwa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kwa kampuni ya Dubai

    Nelson Amenya, mtoa taarifa wa Kenya ambaye aliibua kashfa ya mkataba wa uwanja wa ndege wa Adani uliobatilishwa hivi karibuni, ameibuka tena akidai kuwepo kwa mpango mpya wa kukodisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni moja kutoka Dubai. Amenya anadai kuwa licha...
  2. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Whistleblower aliyefichua uwanja wa ndege wa Kenya kuuzwa ahofia maisha yake

    Nelson Amenya, kijana aliyefichua mazungumzo ya siri kati ya serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group ya India kuhusu mpango wa kuchukua usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa miaka 30, sasa anadai kuwa maisha yake yako hatarini kutokana na vitisho alivyopokea...
Back
Top Bottom