nest

NEST - National e-Procurement System of Tanzania
NEST - National e-Procurement System of Tanzania is an electronic system that facilitates e-registration, e-tendering, e-contract management, e-payment, e-catalogue and e-auction.
  1. A

    DOKEZO Mfumo wa NEST ni jipu

    Mimi ni tenderer kwenye mfumo wa NEST ambao mwanzoni ulikua mzuri kabisa. Na kama kijana nilihamasika kucomply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali. Ni fani ya Ushauri Mazingira. Lakini kwa sasa pamekua pagumu sana. Hakuna kazi na kazi ikitangazwa anatafutwa mtu. Then huyo mtu anatafta wa...
  2. MamaSamia2025

    Naipongeza serikali kwa mfumo wa NEST japo bado una changamoto kubwa

    Huu mfumo wa manunuzi serikalini kidigitali (National e-Procurement System of Tanzania) kwa kifupi NEST ni mfumo mzuri ambao utasaidia kupunguza upigaji na kuleta fair play kwenye kutoa tenda za serikali. Ni kitu kizuri kuwahi kufanywa na serikali. Wajasiriamali wenye kampuni ndogondogo...
  3. Roving Journalist

    PPRA: Inapotokea kuna changamoto ya Mtandao katika Mfumo wa NeST huwa tunasogeza mbele muda wa Tenda

    Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
  4. Mzee Wa Kale Kabisa

    KERO Mfumo wa NeST umetushinda?

    Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.? Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na serikali hivyo wataalam wanaousimamia ni wa ndani. Na sio mara ya kwanza kwa kuwa mara kwa mara...
  5. Roving Journalist

    Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
Back
Top Bottom