Wadau hamjamboni nyote
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau amewasili nchini Marekani na atakuwa na kikao kizito sana na Rais Trump
Mungu ibariki Israel
Netanyahu lands in Washington, to discuss hostage deal extension with Trump
By AMICHAI STEIN FEBRUARY 2, 2025 22:42Updated: FEBRUARY 3...
Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa nikamshukuru Mnyaazi. Jamaa likaondoka Hosp kabla halijapona ili likaendeleze kichapo.
Yule si...
Wadau hamjamboni nyote?
Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
January 1, 2025
Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery
By...
Nimeangalia Al Jazeera
Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga
Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo
Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
Iran’s Khamenei says death sentence should be issued for Netanyahu, not arrest warrant
A handout picture provided by the office of Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei shows him addressing the crowd during a meeting with members of the Basij paramilitary force in Tehran on November 25...
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Incoming Senate
majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis
Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao ni kesho usiku kuanzia saa 3 usiku huko Tel Aviv
Hofu dhidi ya shambulizi la Iran yatajwa! Taarifa zaidi kukujia.
Times of Israel:
========
November 1, 2024: PM to hold security cabinet meeting Sunday night amid Iranian threats, Lebanon ceasefire push.
Prime...
Wadau hamjamboni nyote?
Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, amemwambia Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa anataka Israel imalize vita vya Gaza kabla ya yeye kurejea madarakani iwapo atashinda uchaguzi, vyanzo viwili vilivyo na taarifa juu ya suala hili vimeeleza kwa The Times of Israel...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.
Pia na wakazi wa Mashariki ya mbali waliopo Tandale kwa Tumbo,Buguruni kwa Mnyamani, Manzese kwa Mfuga Mbwa, kwa Mtogole na viunga...
Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sote kwa nguvu moja bila kujali itikadi zetu mniunge mkono ninapoa. WITO kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyau awaonee huruma ndugu zetu wa Mashariki ya kati na hivyo asitishe vita.
Netanyau hao ndugu zetu ni wanyonge kwako na hakuna namna wanaweza kushindana nawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.