netflix

  1. Mad Max

    Wakishua wenye Netflix: Squid Game Season 2 itakua premiered leo Tar 26 Dec!

    The 2nd season is here. Let's play!
  2. Mad Max

    Netflix Squid Game Season 2: You’re invited, Dec 26

    Naona baada ya mafanikio makubwa ya Season 1, wanarudi tena. Dec 26 ndio episode 1 itaanza na kutakua na jumla ya episode 10. BTW ni miaka mitatu tokea Season 1 itoke. Tunazeeka aisee.
  3. Nifah

    Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

    Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya burudani, Joseph 'Joe' Kusaga yuko mbioni kuja na App itakayokuwa katika mtindo unaoshabihiana na App...
  4. Mr_kim_joh

    Kuna huu mzigo

  5. F

    Netflix documentary ya The Backhams ina funzo kubwa sana ya ndoa za kisasa zinapaswa ziweje.. modern life ndoa inapaswa muendane sana

    Habari wadau Muda si mrefu nilikuwa natazama documentary ya familia ya beckham Netfilx inayokimbiza sana huko netflix nikajifunza vitu kuhusu ndoa za kisasa 1. Wanandoa mnapaswa mfanane.. yaani mwanamke awe female version ya huyo mwanaume and vice versa. Hii namaanisha mwenza anapaswa awe na...
  6. Eli Cohen

    Niko netflix naangalia doc ya Beckham ili kupozea machungu ya Man Utd

    https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489 Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
  7. Lady Whistledown

    Nyota wa BreakBad, Aaron Paul adai kutolipwa na Netflix

    Nyota wa Tamthilia ya Breaking Bad, Aaron Paul amedai kutolipwa Mirabaha yake na Kampuni ya Kuonesha Maudhui ya Netflix, inayoonesha Tamthilia hiyo Japokuwa Breaking Bad imekuwa moja ya tamthilia ambazo zimetazamwa zaidi Netflix kwa miaka mingi, Paul anadai kuwa hapokei chochote kutoka kwao...
  8. BARD AI

    Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

    Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja. 𝗟𝗶𝗻𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼? Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
  9. BARD AI

    Netflix inatafuta mhudumu wa Ndege atakayelipwa Tsh. 899,745,000 kwa mwaka

    Netflix inatafuta mhudumu mpya wa ndege ili kujiunga na watoa huduma wake na iko tayari kumlipa zaidi ya dola 385,000 kwa mwaka kwa atakayekuwa na sifa. Mhudumu huyo atafanya kazi kwenye moja kati ya Ndege zake binafasi katika mji wa San Jose, Calif. karibu na makao makuu ya kampuni ya Los...
  10. BARD AI

    Misri: Netflix, Disney+ zatakiwa kuomba leseni za streaming

    Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari (SCMR) pia limeagiza kampuni hizo za utiririshaji kuondoa maudhui yote yasiyoendana na watoto pamoja na yanayokinzana na maadili ya Kiislamu Taarifa ya Bodi ya Maudhui imesema hatua hizo zimechukuliwa kutokana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la majukwaa...
  11. Suley2019

    Netflix loses almost a million subscribers as cost of living crisis takes toll on budgets

    US streaming service Netflix has revealed that it lost almost a million subscribers during the past three months of its financial year as the global cost of living crisis takes its toll on family entertainment budgets. The company reported that it had 970,000 fewer customers in the period...
  12. Lady Whistledown

    Netflix yaachisha kazi wafanyakazi 450 ndani ya miezi 6

    Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza wafanyakazi takriban 150. Hatua hii ni baada ya ripoti mbaya ya mapato ya #Netflix ya robo ya mwaka...
  13. MK254

    Netflix helps produce three Kenyan movies, offers Sh33m to train local actors

    Netflix is helping produce three Kenyan movies and will spend Sh33 million to train actors, as part of its investment in local content. The three are in different stages of production while their licensed local titles are being reviewed by Netflix. The US streaming service said the Kenyan...
  14. Lady Whistledown

    Netflix yapoteza watazamaji 200,000 ndani ya robo ya kwanza ya Mwaka

    Netflix Inc inasema mfumuko wa bei, vita vya Ukraine na ushindani mkali vilichangia upotezaji wa watumizi kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja na kutabiri hasara kubwa mbele, kuashiria mabadiliko ya ghafla ya bahati kwa kampuni hiyo ambayo imestawi wakati wa janga hilo. Kampuni hiyo...
  15. S

    Nawezaje kudownload movie za netflix

    Heshima kwenu wakuu Naomba msaada, hivi nawezaje kudownload movie za netflix Yaan nna laptop,nataka nidownload movie kutoka netfl;ix na kulisave file la iyo movie kwenye laptop Hii inawezekana wakuu? Maana kila nikijaribu kutafuta mafile ya movie niliyodownload kwenye simu kutoka netflix...
  16. Chachasteven

    Account ya netflix kwa mwezi

    Wale wanangu wa Kustream movies, hii hapa ofa. Unapewa log in details za NETFLIX kwa mwezi mzima. Baadala ya kulipa 10,000/- , hapa utachangia kiasi kidogo tu. 6,000/-. Ofa ni kwa watu kumi wa kwanza tu. Namba: 0621391581.
  17. Kasomi

    Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1

    Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1. Ni High Quality format ambayo inawezesha video kuwa na quality kubwa sana bila kutumia data sana, kuliko format za MPEG4 na HEVC. AV1 ni format ambayo imekubaliwa kutumiwa na makampuni makubwa kama vile Amazon, Facebook, Google, Amazon...
  18. Tony254

    DJ Afro amepata deal na Netflix

    Mtanzania mgani anamfahamu huyu DJ wetu pendwa anayeitwa DJ Afro? Movies zake zimefika huko kwenu? Netflix imeamua imtumie kujiadvertise maana anapendwa sana huko vijijini na vitongojini. Halafu Kenya ndio nchi pekee ya Afrika ambapo Netflix ni free. Yaani unadownload netflix app na unaweza...
  19. C

    Netflix kupatikana bila malipo nchini Kenya

    Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20 inchini Kenya. - So Far walichotufahamisha ni kuwa, Huduma hii itakuwa kwa wenye umri juu ya miaka 18...
  20. Nafaka

    kwa wale wenzangu na mimi tuliokuwa tukifanya swahili subtitles za Netflix, tujipe pole

    Kama kuna habari mbaya niliyopokea weekend hii, ni ya netflix kutotoa tena swahili subtitles. Hii ina maana fursa moja imefungana hii ni kutokana kwamba kulikuwa na malalamiko mengi ya subtitles nyingi za Kiswahili kuwa Machine generated hivyo kupotosha ukweli. Mfano Goodbye Guys - Kutafsiriwa...
Back
Top Bottom