netflix

  1. warumi

    Zari na Diamond kuja na reality show yao on Netflix

    This is what I have been expecting from Zari , Sasa mastaa wabongo mtulie mjifunze maana ya reality show kwa Zari sio reality show zenu hizo fake za Instagram, can’t wait for this [emoji91] Can’t wait for this , hii show itakua ni , wabongo mkae mkao wa kula mjifunze maana ya reality show sasa...
  2. GuDume

    Netflix wameiondoa Line of Duty

    Hii series nlianza ingalia Netflix season one. Bahati nzuri nlikuwa nmeisha idownload. Nikarudi kuendelea na nyingine nikakuta wameisha iondoa. Nikalazimika ku download kupitia torrents. Ni nzuri kwa watu mnaopenda series zilizotulia zikihusisha pia Corrupt Cops na Changamoto zao. Pia, Gangs wa...
  3. M

    Mfahamu billionea wa kwanza Mweusi Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe

    Inakuwaje wanajamvi! Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza mweusi Uingereza. Ana asili ya Zimbabwe na kujishughulisha na biashara ya Telecom. Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver. Ana mkono wa kutoa sana kwa Africa. Na amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid...
  4. kiwatengu

    MOVIE: Idris Sultan ndani Netflix "Slay" - Usikose!

    Wale Wapenzi wa Movie, "SLAY" aliyoshirikishwa msanii Mtanzania Idris Sultan (Mogul). Inatarajiwa kuruka muda sio Mrefu. Kwa Dar mzigo utaruka Pale Little Theatre Oysterbay kuanzia Saa Moja jioni... Hakuna kiingilio. Nitakuwepo pia and I will comeback here for Review.
  5. Airmanula

    Staa na msanii Idris Sultan apaa kimataifa hadi NETFLIX;, kuonekana kwenye filamu ya Slay

    Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
  6. Nduka

    Kwanini amebadilisha password ya Netflix?

    Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Huwezi kujichukulia uamuzi wa kubadilisha password ya Neflix huku ukijua watumiaji wake ni wengi. Kama ungetaka kutumia tu mwenyewe bila usumbufu usingetuunganisha kuanzia mwanzo.
  7. Sherlock

    Filamu ya Kenya 'Poacher' kuoneshwa kupitia Netflix

    Pamoja na Netflix kuwa kampuni ya uzalishaji; jukwaa lenye utazamaji mkubwa ambao huvutia zaidi ya wanachama milioni 183 wa kimataifa, imekuwa ndoto ya kila mtengenezaji / waigizaji wa filamu kuwa na maudhui yao kurushwa juu yake. Sekta ya filamu nchini Kenya inaashiria hatua nyingine kufuatia...
  8. MK254

    Aakili kubwa - Award-winning Kenyan Film to Make History on Netflix

    Actor Brian Ogola during a scene in the film 'Poacher' The film 'Poacher' is set to make history as the first Kenyan movie to air on Netflix, the world's on-demand video streaming service The movie which addresses issues on illegal ivory trade is set to premiere on the global streaming...
  9. sky soldier

    Darasa: Jinsi ya kudownload (Kupakua) series za Netflix

    Kudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu 1. Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya network. 2. Kustream series kwa vifurushi ni gharama kwa watu wa vipato vya chini, Hivyo wengi wanaweza...
  10. Forgotten

    NETFLIX wanafeli wapi?

    Wiki hii nilipata nafasi ya kuangalia movie pamoja na series mpya kutoka NETFLIX ORIGINALS. Hizi zote wameziandaa wenyewe; EXTRACTION (Movie) Hii imejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kuwa full packed na fights za kutosha, kwa wapenzi wa action movie hii lazima uikubali. Ila walipofeli na...
Back
Top Bottom