network

  1. B Prosper

    BEE NETWORK

    Bee network will be launched this year being established in 2020, mining every 24 hours the same as pi currency Bee network will be the best network in the world Bee Network is the world's largest web3 interactive platform. Join by invitation and earn Bee for bigger fortune with one click. Use...
  2. chizcom

    Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

    Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui. Yeye anafaidika na...
  3. Mhandisi Mzalendo

    Mtandao wa YAS na roaming network wamefeli

    Habari wanajukwaa, Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana. Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha upo nchi tano. Tanzania Togo Comoro Senegal Madagascar Ila cha kushangaza huu mtandao unapotoka nje...
  4. snipa

    Account ya Dr Kigwangalla inapush X Token ambayo ni scam, kimbieni kama pi Network.

    https://x.com/HKigwangalla/status/1893226663623762175 Wadau X Token zipo nyingi sana ila asilimia kubwa ni scam, jambo lakutambua ni kuwa Musk Hana Token yeyote inayoitwa XToken, msije mkajichanganya. Kwa mujibu wa Grok Musk Hana Token yeyote inayoitwa x Token.
  5. Junior Lecturer

    DOKEZO Tahadhari: Utapeli wa watu waliojificha nyuma ya biashara ya kimtandao ya ‘Alliance in Motion Global’

    Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing. Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000...
  6. snipa

    Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  7. Kidagaa kimemwozea

    Kuna uwezekano Pi network ikaja kuqa kama bitcoin?

    Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha baada ya miaka 15 ijayo kama ilivyofanya bitcon? Wataalam wa sarafu za kidigital mnaweza kuzungumza hapa
  8. N

    KERO TRA mmetoa nafasi za ajira ila network yenu ni ‘kimeo’, mnategemea tunaombaje hizo nafasi?

    Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu hata kujisajili. Hali hiyo imesababisha hata wanaohitaji huduma nyingine za kimtandao nao...
  9. Braza Kede

    Maeneo mengi inayopita SGR hayana network nzuri ya simu, Je makampuni ya simu hayaoni pesa hii inayopotea?

    Hii ni ajabu na kweli ukisafiri na treni ya SGR utakuta maeneo mengi inapopita hiyo treni hayana network nzuri ya simu. Je makampuni ya simu hayaoni kama wanapoteza fursa ya kupiga pesa? Hawaoni pesa mingi inayopotea hapa au ndo wameshashiba na kuvimbewa hawataki pesa tena?
  10. Nawashukuru Sana

    Napenda kuwafundisha somo moja vijana kuhusu Network na connection.

    Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection . Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network. Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani . Mfano mwaka fulani pale UDSM nilikuwa na ndugu yangu (RIP) alikuwa ni lecturer huyu jamaa alikuwa...
  11. Gordon Technology

    VITASA VYA MLANGO KUFUNGUA KWA PASSWORD,FINGERPRINT,CARD NA APP-0746373222.

    SMART LOCK. Vitasa hivi ni matokeo ya ukuaji WA TEKNOLOJIA ikapelekea kutengenezwa Kwa vitasa vya milango vinavyo tumia mfumo maalum ili kufungua( password,finger,card na app ya simu). VITASA hivi havitegemei umeme WA Tanesco. Ndani ya kitasa Kuna battery nne ambazo hufanya KAZI Kwa takribani...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni malalamiko ni mengi kuhusiana na network yao, naombeni ushauri

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow. Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge! NB Matumizi yangu ni ya kawaida...
  13. Tabutupu

    Ethiopia ni nchi yenye barabara zenye viwango ambavyo Tanzania huwezi kuviona

    Ethiopia ni moja ya nchi bora africa kwa barabara zenye viwango ambazo Tanzania huwezi zikuta.. Tamroad jifunzeni. Najiuliza wakati mnajenga barabara mfano ya kimara to kibaha kwanini hamkuwaza wapi mtaweka taa. Kwanini msinge acha nafasi katikati nfio taa zikakaa. Nasikia eti tanroad...
  14. Kuchwizzy

    Create Your Own Neural Network From The Scratch (A.I - 101)

    Wazee wazee Kwanza nianze kwa kukiri kuwa sina kawaida ya kumalizia nyuzi ninazozianzisha kama ambavyo lecturers wengine wa JF walivyo pia Sababu kubwa huwa ni mbili, kukosa interest au kutingwa na kazi, na mda mwingine unakosa wale sophisticated audiences unaowatarajia kulingana na topic...
  15. Tlaatlaah

    Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  16. A

    Submarine network kutoka Lebanon to Cyprus ndio chanzo ya kuwauwa Macommander Wa Hezbullah

    Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote. Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo. ---...
  17. zigi 01

    Storage area network

    Naomba kujua maana hasa ya hii aina ya network na naitumiaje kwenye mazingira yangu? Nina MySQL Database nataka kuiongezea ukubwa wa kuhifadhi data nikapewa ushauri nitumie hiyo SAN sasa sijaifahamu ni kwa vipi hii technology inafanya kazi!!
  18. M

    Data center za tanzania zinatumia njia gani kujikinga na cyber attacks kwenye network infrastructure zake?

    Habari wadau Nipo kwenye harakati za kujiandaa kufanya utafiti juu ya matumizi ya Next Gen Firewall hapa Tz na case study yangu itafocus kwenye data center Hivyo ningependa pata first hand experience toka kwa wadau wenye access na knowledge za data canter infrastructure hapa bongo
  19. Tlaatlaah

    Hivi uliwahi kutumiwa kitu gani muhimu sana kwa njia ya mtandao halafu network au bando ikawa tatizo kwako?

    Mathalani mmekubaliana na mtuma hicho kitu, kwamba anakutimia muda huo, halafu, ukiwa katika hali ya shauku, bashasha na hamu kubwa sana ya kupokea, kutazama na kuona ulichotumiwa, na halafu anae kituma anakuhakikishia kabisaa kwamba tayari ameshakutumia. Ukiachilia mbali pesa, Ni kitu gani au...
  20. fesee

    Naomba kufahamishwa kuhusu PI Network

    Wakuu habari za Kazi, Hii kitu inaitwa Pi network kwa wanaoifahamu au kuifuatilia mnaionaje ni kweli itakuja kuipikua Bitcoin au ni Mbwebwe tu maana naifuatilia project yake iko Serious Sana. Kwa anayeifahamu zaidi atupe Mawazo yake kwa asiyeijua ni Coin inayopatikana kwa Mining kupitia app...
Back
Top Bottom