Wadau wa JF tech habarini za asubuhi, bila kupoteza muda na kwa ufupi naomba kuaddress swala langu, e bhana ee kila nikiwasha data kwenye simu yangu inakuja hii notification "sign in to network" inanikera sana, nimejaribu kwenda ku-mute notification kwenye android system lakini naambiwa kwa hiyo...