new york

  1. beth

    New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬ ‪ ‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika...
  2. Stephano Mgendanyi

    Safari ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York ni ya muhimu kiuchumi

    KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
  3. beth

    Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo Septemba 23 Vilevile, atahudhuria Mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya...
  4. S

    Ninon Marapachi, Dada Mtanzania anaydongoza kitengo Bank Of America New York

    On Resilience: How Ninon Marapachi Went From Poverty In Tanzania To Wall Street Domination Ninon Marapachi is the head of the Hedge Fund Business at Bank of America within the Global Wealth Investment Management division. Whew – long title. Having that much title at one of the biggest banks in...
  5. beth

    Marekani: Gavana wa New York ajiuluzu kufuatia skendo ya unyanyasaji wa kijinsia

    Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden wamekuwa wakishinikiza Cuomo aachie madaraka. Gavana Kathy Hachul atachukua nafasi yake na kuwa Mwanamke...
  6. P

    Msemaji wa Simba anapoinadi mechi ya Simba na viwalo vya New York Yankees

    Msemaji wa Simba alipokuja redioni kuinadi mechi ya Simba na Yanga majuzi, akiwa na advataizi ya mavazi ya timu ya mpira wa baseball ya New York Yankees
  7. hiram

    New York Times walivyoripoti kutekwa Air Tanzania mwaka 1982

    4 TANZANIAN HIJACKERS SURRENDER; 90 HOSTAGES ARE FREED IN BRITAIN By R.w. Apple Jr., Special To the New York Times March 1, 1982 March 1, 1982, Section A, Page 3 BISHOP'S STORTFORD, England, Feb. 28 - A 48-hour hijacking drama that began in East Africa ended tonight at an airport 25 miles...
  8. Ikaria

    Mwili wa DMX ukitolewa hospitali New York kwenda kwenye hifadhi ya maiti

    Umati wa mashabiki wajitokeza kutoa heshima kwa nyota wa hip-hop nchini Marekani DMX ambaye alifariki kutokana na kuzidisha dawa za kulevya.
  9. Mohamed Said

    Johnny Innis, Mswahili wa New York

    JOHN INNISS MSWAHILI WA NEW YORK Nimemfahamu John Inniss miaka ya 1980 mwishoni kwa kutambulishwa na Bi. Riziki Shahari miaka hiyo yeye mwanafunzi Columbia University, New York ambako ndiko "Waswahili," hawa wawili walijuana. John Innis ambae nikipenda kumwita kwa jina lake la utani...
  10. The Assassin

    New York: Mwizi wa gari atishia kuita polisi baada ya kukuta mtoto ameachwa kwenye gari aliyoiiba

    Vituko, huko New York, mwizi baada ya kuiba gari na kutokomea kusikojulikana, katika harakati za kukagua gari akakuta kuna mtoto ndani yake, ikabidi arudi hadi alipoiiba na kumkuta mama wa mtoto. Baada ya kumkuta mama na mtoto akatishia kuita polisi kwa uzembe wa mama wa mtoto kuacha mtoto peke...
  11. Analogia Malenga

    Mshirika wa Al-Shabaab afunguliwa mashitaka New York

    Mshirika wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab anayeshutumiwa kula njama kufanya shambulizi la mtindo wa Septemba 11 nchini Marekani amepelekwa New York kukabiliwa na mashtaka ya ugaidi, wizara ya Sheria ilitangaza Jumatano. Raia huyo wa Kenya Cholo Abdi Abdullah alihamishwa Jumanne kutoka...
  12. MK254

    Akili kubwa - Kenyan Honoured in New York Times Square Billboard after appointment as CFO of an American biopharmaceutical giant.

    Wale bado mna mashaka kwanini Wakenya wanasakwa na makampuni ya kimataifa..... A congratulatory message to Dr Kariuki in New York’s Times Square Billboard after he was named Velosbio’s new Chief Finance Officer. Dr Enoch Kariuki was honoured in New York Times Square billboard after he was...
  13. Pascal Mayalla

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  14. Sam Gidori

    Nini kitarajiwe kutoka Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa?

    Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 mwaka huu; Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa ulitakiwa kuwa mkutano mkubwa hasa kutokana na kusherehekea Jubilee hiyo ya Platinamu. Kama ilivyokuwa kwa miaka 74 iliyopita, viongozi kutoka mataifa mbalimbali duniani husafiri na kukusanyika mjini New...
  15. middo lulyheart

    Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani. Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
Back
Top Bottom