new zealand

  1. Rozela

    Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

    Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA. 1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100. 2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika...
  2. Nyani Ngabu

    Binti mbunge Hana-Rawhiti Maipi-Clarke, Ujasiri na uthubutu wake ni A+

    Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+. Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo]...
  3. T

    Mji wa Auckland New Zealand tayari sasa ni sa 8 na Nusu Usiku ya Tarehe 1, Januari 2024.

    Wakati wengine tukiendelea kusubiri mwama mpya, Auckland New Zealand tayari walishaanza mwaka 2024 masaa 2 yaliyopita. Auckland wako mbele yetu zaidi ya Masaa 8, GMT+13. https://twitter.com/AP/status/1741427952116506698?s=19
  4. JanguKamaJangu

    New Zealand: Waziri Mkuu atangaza kujiuzulu

    Jacinda Ardern (42) amesema ataachia ofisi kabla haijavuka Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika madaraka hayo. Ardern alikuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mdogo Mwanamke alipoteuliwa kushika nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 37 Mwaka 2017 kisha mwaka...
  5. Mathanzua

    #COVID19 New Zealand medical Professionals demand Police investigation into unusually high number of Covid deaths after vaccinations

    New Zealand Medical Professionals Demand Police Investigation Into Unusually High Number of Covid Jab Deaths Prime Minister Jacinda Ahern on the firing line for making deadly shots mandatory Jacinda Ardern Left Reeling As New Zealand Police Look at Investigating COVID Jab Deaths Jacinda Arden...
  6. S

    New Zealand: Mchawi mkuu wa Serikali afukuzwa kazi

    Mchawi Mkuu wa Serikali ya New Zealand, Ian Brackenbury Channell ambaye ndiye mchawi pekee duniani aliyekuwa akilipwa mshahara na Serikali, amefukuzwa kazi kufuatia matamshi yake aliyoyatoa ambayo yanadaiwa kuwadhalilisha wanawake. Brackenbury mwenye umri wa miaka 88 aliajiriwa na manispaa ya...
  7. beth

    New Zealand kubana zaidi Sheria kudhibiti mashambulizi ya kigaidi

    Waziri Mkuu, Jacinda Ardern amelitaka Bunge kupitisha Sheria itakayofanya kupanga mashambulizi ya kigaidi kuwa kosa Hatua hiyo inakuja baada ya Mtu mmoja Raia wa Sri Lanka kushambulia kwa kisu watu saba kabla ya kuuawa na Polisi kwa risasi Septemba 03, 2021. Waziri Mkuu amesema watu watatu kati...
  8. beth

    #COVID19 Lockdown kuendelea Nchini New Zealand, visa vya Corona vyafikia 107

    Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern amesema Lockdown Nchini humo itaendelea kuwepo hadi Agosti 27, na huko Auckland ambapo ndipo kitovu cha maambukizi, Kanuni za tahadhari zitadumu hadi Agosti 31. New Zealand ni moja kati ya Mataifa yanayosifika ulimwenguni kwa kudhibiti janga la Corona...
  9. Sam Gidori

    Wadukuzi wadai fidia ya Tsh Bilioni 162 ili kufungulia mifumo waliyofungia

    Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua. Madai yao yaliwekwa wazi siku ya Jumapili katika mtandao wa kihalifu unaohusishwa na genge la wahalifu wa kimtandao la Urusi...
Back
Top Bottom