Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji.
Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo, lakini wapi!!
Neymar baada ya kuona ameshindwa kuwa mfalme Barcelona akakimbilia PSG ghafla na...
Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumba nyota wa soka Neymar sasa yamezua sintofahamu kubwa juu ya hatima yake katika klabu ya Al-Hilal. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Fichajes, klabu hiyo ya Saudi Arabia inaangalia uwezekano wa kumuuza mchezaji huyo wa Brazil ambaye amekuwa...
Taarifa kutoka tovuti ya michezo ya Brazil, UOL, zinaeleza kuwa klabu ya Saudi Arabia, Al-Hilal, inafikiria kuvunja mkataba wa Neymar Jr. mapema mwezi Januari.
Uamuzi huu unachangiwa na majeraha yanayomkabili Neymar, ambayo yamekuwa yakimzuia kucheza mara kwa mara, akifanikiwa kucheza mechi...
Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?
Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.
Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati...
Utafiti Tovuti ya FBref.com inayojihusisha na takwimu za michezo mbalimbali, umeonesha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi ndiye mchezaji wa soka aliyetazamwa mara nyingi mtandaoni katika Nchi mbalimbali kwa Mwaka 2023.
Utafiti huo umeonesha mafanikio ya Kombe la Dunia na uhamisho wake kutoka...
Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji.
Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi miwili tangu aliposajiliwa na Al-Hilal ya Saudi Arabia na kupewa Mkataba unaomwezesha kulipwa Pauni...
Neymar Jr ameondoka katika soka la ulaya akiwa na miaka 31 tu. Ameenda zake Saudi Arabia kuungana na mastaa wengine waliokimbilia katika ligi hiyo.
Baadhi ya ofa ambazo Neymar atazipata katika mkataba wake huko katika klabu yake ya Al Hilal.
Ofa hizo ni kama ifuatavyo;
1. Jumba la kifahari...
Staa wa Timu ya Taifa ya Brazil na Club ya PSG Neymar amekamilisha usajili wa kujiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia ambako atakuwa akilipwa mshahara wa pound milioni 129.4 kwa mwaka ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 411.
Uhuru wa matumizi ya Fedha unaharibu ladha ya soka.
---
Neymar signs for...
Licha ya kutajwa mara kadhaa kuwa anaweza kurejea Barcelona lakini inavyoonekana Neymar ataweza kuwa mchezaji wa Al-Hilal ya Saudi Arabia siku chache zijazo.
Mshambuliaji huyo wa PSG amekuwa katika mazungumzo na timu yake kuhusu uhamisho huo utakaokuwa na thamani ya Euro Milioni 160 (Tsh...
Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake.
Neymar alijiunga PSG kwa rekodi ya Dunia Pauni Milioni 198 (Tsh. Bilioni 624) akitokea Barcelona Mwaka 2017.
Uamuzi unaendelea...
Klabu hiyo ya Saudi Arabia inamuwania mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain (PSG) aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa Pauni Milioni 198.
Neymar yuko mbioni kuondoka PSG baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Klabu huyo ambapo wababe hao wa Saudi Arabia wanahitaji kumsajili baada ya...
Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic.
Alionekana akilia akiwa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani, madaktari wamesema majibu kamili ya ukubwa wa jeraha hilo yatajulikana...
Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha.
Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu
Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo, akiwa ameshinda tuzo hiyo mara saba katika kipindi hicho
Mpinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.