Nyota wa Brazil, Rodrygo amedai kuwa kuna uwezekano wa nahodha wa timu yake, Neymar akastaafu kuichezea timu ya taifa hilo kisha kumkabidhi yeye jezi namba 10.
Neymar ambaye amefunga mabao 74, akishika nafasi ya pili nyuma ya Pele aliyefunga mabao 77 katika historia ya Brazil inadaiwa Michuano...
Mchezaji wa PSG, Neymar (29) ameumia kifundo cha mguu wakati timu yake ilipokuwa ikichuana na klabu ya St Etienne katika dimba la Geoffroy-Guichard na kushinda kwa goli 3-1
Neymar alionekana kuugulia maumivu makali na kuonekana akilia pia katika tukio hilo lililotokea dakika 5 kabla ya kipenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.