Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati
Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? "
kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali.
Nitaendelea kuwaletea updates hapa kuanzia muda huu. Makomandoo kwa hii siku ya leo 07/08 wapo Uwanjani kurekebisha...
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie...
Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle...
Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili.
Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake.
Kwa kikosi hiki...
Naona matokeo mapema this time
Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza
.Cha pili yanga wataingia na kasi ya ajabu sana sana aijawahi kutokea
Kama baadhi ya wachezaji wa simba watashindwa kuvumilia hii kasi tutarajie penalty itatokea kwenye hii mechi
Yanga ana 75 perc ya ushindi mpaka...
Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024,
Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc
Nb. sijataja timu.
Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii.
Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa.
Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023
Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa njia ya penati 5-4 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika muda wa kawaida.
Baada ya mchezo huo wa...
Kikosi cha Simba Queens
Kikosi cha Yanga Princess
Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess
Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa...
Tuliaminishwa Kipa Jefferson Luis ni bonge la Kipa mara ghafla akalazimishwa ajifanye kaumia ili aachwe na achukue hela yake ya bure ya Tsh. 150 milioni na wapigaji wachukue Tsh. 250 milioni na ikaishia hapo.
Simba Day tukatambulishwa Kipa Abel ambaye alishafungwa na Simba SC goli 6 au 7...
Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu nyingine? Tunajua kuwa tumeupata huu Ushindi kwa kelele nyingi juu ya waamuzi kutoka ndani na nje ya uwanja...
Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii.
Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.