Wilaya ya Ngara mkoani Kagera inakumbana na changamoto ya ukosefu wa bidhaa ambapo sasa lita moja ya Petrol inauzwa tsh 5000.
Wakati hayo yakijiri, mitambo ya kusuma maji imezimwa kwa siku tano sasa kutokana na upungufu wa umeme.
Kwa upande wa mafuta ya magari, vituo rasmi vya kuuza bidhaa...
HOTUBA MBELE YA MGENI MAALUM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE SHEREHE YA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU, TAREHE 22 FEBRUARI 2022, NGARA
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mwadhama Kardinali Anthony Kambanda, Askofu Mkuu wa Kigali
Mhashamu Askofu Flavian...
Hayati John Magufuli alipambana sana Uzalishaji wa mgodi wa Nickel wa Kabanga Nickel uanze uzalishaji akiwa hai. Mipango ya Mungu huwa ina tofauti na ile ya binadamu.
Hakuweza kuishi mpaka kuona haya yanayoendelea hivi sasa. Angeridhika kwa asilimia mia moja. Utoke jasho kuupigania mradi mkubwa...
Ni aibu kama nchi!
Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.
Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi.
-
MKOA MPYA NA MAKAO MAKUU MAPYA NYAKANAZI:
Anaandika Msakila M Kabende - Economist
KWA WAHESHIMIWA:-
(i). Aloyce Kamamba - Mbunge wa Jimbo la Buyungu
(ii). Ezra John Chiwelesa - Mbunge wa Jimbo la Biharamulo
(iii). Ndaisaba G. Luhoro - Mbunge wa Jimbo la Ngara
(iv). Fidel Chiza Nderego -...
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe
RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera.
Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato...
Kajibu hivi
'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.'
Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.
Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu...
Maajabu ya tumbuzi ya Arusha ya meneja TARURA kuwa hajaleta wananchi kushuhudia vishindo vya awamu ya tano tumeyaona.
Kuwa TANROADS au TARURA Biharamulo na Ngara wangali wanadunda maofisini hata katika ubovu huu wa barabara uliopo usio mfano? Ama kweli kama hii si moja ya maajabu ya Mussa basi...
Baada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini.
Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.