ngazi

Ngazi Sport de Mirontsi is a football club from the Comoros based in Mirontsi.

View More On Wikipedia.org
  1. Masalu Jacob

    Wahitimu wa vyuo na Serikali: Elimu hasa ngazi ya Shahada

    Tanzania ! Tanzania ! Tanzania ! Habari za leo vijana wasomi. Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada. 1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA SECURITY FUND". Hii ikawa maalumu sana kwa vijana wa taifa letu umri kuanzia miaka 18 mpaka 44. Huu uwe...
  2. aise

    Ujenzi wa Ngazi

    Karibu nikujengee ngazi nzuri 0624254690
  3. J

    Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  4. M24 Headquarters-Kigali

    Dkt. Doto Biteko anatufaa kwa ngazi ya juu zaidi

    Hii Africa Energy Future Summit inatuonyesha umakini wa viongozi wetu. Mmojawapo ni Mheshimiwa Dr Dotto Biteko (PhD) huyu kiongozi ni hazina ya mbeleni. Ana utulivu wa kiuongozi na elimu pia ipo Asante. https://www.youtube.com/watch?v=o6bgARGZYwg Dr Mwigulu atakua kwenye PANEL, tusikilize...
  5. Tlaatlaah

    Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

    Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki, Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
  6. F

    CHADEMA katika Uchaguzi wao huu wa ndani hasa ktk ngazi ya Taifa kimedhihirisha hakifundi Viongozi!

    Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha. Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
  7. Tlaatlaah

    Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  8. chakii

    Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  9. GANJIBHAAI

    Pre GE2025 Kwa Kuwa CHADEMA haioneshI dalili ya kushika dola leo wala kesho, nafasi ndani ya chama ndo zimekuwa dili

    Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
  10. G

    Tips za Written Interview ya Utumishi kwa Mwalimu wa Kemia na Biolojia Ngazi ya Degree

    Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
  11. A

    Picha zinazotafakarisha kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya taifa

    Ukifuatilia hizi picha kwa umakini unaweza kuona mambo mengi ambayo yanaweza kutokea hapo baadae
  12. Meneja Wa Makampuni

    Luteni Jenerali wa ngazi ya juu wa Urusi, Igor Kirillov auawa kwa bomu lililotegwa kwenye ‘scooter’

    Luteni Jenerali wa ngazi ya juu Igor Kirillov ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Nyuklia, Biolojia, Kemikali (NBC) katika Jeshi la Urusi na Msaidizi wake wameuawa katika mlipuko uliotokea mjini Moscow. Jenerali huyo alikuwa akiondoka kwenye makazi mapema Jumanne wakati kifaa kilichofichwa...
  13. M

    Mimi ningekuwa Freeman Mbowe ningeachia ngazi kwa amani kabisa

    Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
  14. WAZO2010

    Rais wa Yanga achia ngazi

    Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu...
  15. M

    Usalama barabarani Tanzania, iwe mada ya lazima kufundishwa na maswali yake yajibiwe kwa lazima na kila mtahiniwa kwa ngazi zote za elimu nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
  16. KING MIDAS

    Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

    MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM. Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
  17. J

    LGE2024 Wananchi washindwa kupiga kura baada ya kutoona majina yao kwenye ubao ya wenye majina ya waliojiandikisha

    Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura Serikali...
  18. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  19. A

    DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  20. A

    KERO CBE Dodoma hawatoi vyeti kwa ngazi ya Astashahada mpaka wamalize Stashahada

    Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha. Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
Back
Top Bottom