Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili
Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji
Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa sababu ni vichanga
Bunge lilitungaje hii sheria kandamizi Kwa democrasia yetu
Yaani Leo Chauma uikute...
Hakika uchaguzi za serekali za mitaa wengi tunafahamiana na nathubutu kusema chaguzi hizi ni "" tega nikutege, mwiba!""
Bwana mmoja katika mtaa wangu, ambaye tunafahamu kweli namaanisha in and out!, katika kugombea kwa tiketi to chama fulani, kwenye kazi akajijazia katika form kama...
Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo!
Haya yafanyike kwa haraka!!
Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14!
Nipo tayari kwa hoja.
Karibuni.
PIA SOMA
- SoC04 - Tanzania...
Na kalaga baho Nongwa
Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio ya dunia. Yani huko ndugu zangu kila kisanga kisanga, wamakonde wanaitaga "ng'anya".
Huko ukikaa...
Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa
Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti??
Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho...
'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastA
UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza?
Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums .
Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho ya uhamasishaji wa ugonjwa mlipuko wa Murbug Tangu March 2023.
Hivyo changamoto yetu ilitatuliwa...
Wakuu habari za Leo.
Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme.
Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni...
Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
Wasalaam!
Katika kipindi hiki cha mabadiliko na changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania, kuna hitaji kubwa la viongozi wenye maono, dhamira, na ujasiri wa kuleta maendeleo chanya. Mimi, kama mwana-Tanzania mwenye ardhi ya mzizi na dhamira ya dhati, nipo tayari kuchukua jukumu hilo kama...
Habari za mchana.
Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum ila kwakuwa lengo langu ni kusoma ya viziwi na sijui kama hivyo vyuo vinacourse...
Habari Wakuu,
Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania.
Naombeni msaada pls!
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu,
Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma.
Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu,
Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma.
Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
Kichwa Cha habari chajieleza naomba msaada Wana JF maana nimeomba vya serikali nimekosea hovyo naulizia vyuo vizuri vya private maana Nina mpango wa kujiendeleza na degree
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.